Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Achukue gari la 2023 alafu afananishe na la kipanya ataona jinsi tulivyokua hatupo seriousSasa hapo unamrekebisha nini wakati kakosea kila kitu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achukue gari la 2023 alafu afananishe na la kipanya ataona jinsi tulivyokua hatupo seriousSasa hapo unamrekebisha nini wakati kakosea kila kitu?
Gari kikawaida yatakiwa angalau ipitie miaka miwili ya testing and development kabla ya kufanya certification.Weee hatadhubutu [emoji38] si umeona kwenye hio clip anaendesha tena akiwa ndani ya jengo
Ila we jamaa, comments zako kwenye huu uzi zinatuvunja mbavu 🤣🤣Hilo gari anatakiwa alipitishe kwenye madimbwi muda huu wa mvua ili kuona je halitapiga shot
Anatakiwa aliendeshe angalau hadi Mwanza au Kigoma akiwa na watafiti ili wagundue shida ikoje.
Tesla imepitia stages nyingi na kila siku wanafanya updates
Hata mwekezaji anaangalia kwanza umejipangaje na sio kuchomelea chasis, kunua steering racks IlalaYap hili ni wazo zuri
Yeye kama mchoraji angejikita huko napo sio rahisi kihivyo
Hiyo karakana yake ya kutengenezea gari umeiona lakn bruh 😆 haina hata mtambo mmoja mafundi wana spana tu
Hilo gari tukiondoa ujinga halipaswi kuendeshwa barabarani na ndo maana wazungu wana test sites ndani ya viwanda gari inakimbia huku computer zikirekodi data kujua ikifika speed fulani gari ina react vipiTeh teh jamaa kasiliba kweli
Ila siku zote,ukweli unauma
Ova
Hata hiyo design yenye ni failure ile design ameshindwa hata na TVS, Bajaj, PIAGGIOMtu ana design body anasema amegundua gari
Hata kama ila ukiangalia bado design na electicals and electronics ziko vizuri.Body marcopolo Brszil
Engine Cummins Marekani
Gear box Sweeden
Diff Japana
Gari limetengenezwa kwenye assembling plant ya China model ya Yutong mpo hapo?
Huwezi amka na stoo yako ukasema leo naunda gari, ukachomelea chomelea tu na kusema gari hili hapa.mkuu umeongea point. Leo hii hakuna kiwanda kinachotengeneza kila kitu chenyewe zaid ya assembling ya items mbalimbali ili kupata a complete system. Lkn pia hata kama masoud kakosea basi tumshauri na kumkosoa kwa staha ili kumtia moyo afanye vzr zaidi na kuencourage wengine. Kwa kumkosoa vibaya ni rahisi kuzima ndoto za wengine kirahisi hence kuua maendeleo ya nchi.
Akamsome rj scaringe ceo wa rivian jamaa kabuni gari lake ubunifu wake umewavutia wawekezaji sahv ni bilioneaHata mwekezaji anaangalia kwanza umejipangaje na sio kuchomelea chasis, kunua steering racks Ilala
Tatizo ni kwamba twataka tuweke siasa au kuingiza huruma kwenye maswala yanayohusu binadamu.Achukue gari la 2023 alafu afananishe na la kipanya ataona jinsi tulivyokua hatupo serious
Hata wanao mtetea Masudi wambie wamchangie kwa kuyanunua uone kama kuna mtu atanunua.Ila we jamaa, comments zako kwenye huu uzi zinatuvunja mbavu [emoji1787][emoji1787]
Waliochukia wanatakiwa wamchangie masudi pesa ili atafute designers wa kila kitu kuanzia starter, electronics, suspension system, battery system etcKiongozi kaeleza ukweli ila atachukiwa, kwamba lile ni gari?
Jamaa anatengeneza body kwa kuchomelea kununua mitambo si mchezo kaanza mdogo mdogo kufunga robots za kuchomelea na kupress body ni ela ndefu ambayo masoud hawezi kuwa nayo. So kaanza na anachowezqNdio maana wajuba wanacheka pale wakijua kabisa ni mambo mambo katika harakati za kutaka kuwapiga watu na kitu kizito sana😂😂😂😂
Tanzania hatuko serious kipanya angepelekwa kwenye kiwanda cha magari aone jinsi yanavyotengenezwa angeachana na huo ujinga anao ufanya hayuko serious anafanya masiharaTatizo ni kwamba twataka tuweke siasa au kuingiza huruma kwenye maswala yanayohusu binadamu.
Hadi leo Madereva wanalalamika Malori ya Kichina yanawaumiza sana, yaani hayapo comfortable tofauti na mengine. Mchina bado anaendelea fanya design.
Watu washaondoka kwenye vyuma wameenda kwenye carbon fibers ili uzito upungue, yeye anaendelea chomelea vyuma.
Magari kwenye initial phase rangi hupakwa kwa electro plating ili kuzuia kutu, yeye hajafanya hivyo kapiga putty, msasa na kuspray.