Sauti ya Kiongozi kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara akiponda ubunifu wa Gari ya Masoud Kipanya yavuja

Sauti ya Kiongozi kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara akiponda ubunifu wa Gari ya Masoud Kipanya yavuja

Weee hatadhubutu [emoji38] si umeona kwenye hio clip anaendesha tena akiwa ndani ya jengo
Gari kikawaida yatakiwa angalau ipitie miaka miwili ya testing and development kabla ya kufanya certification.

Swala jingine ni la patents hapo lazima aimbe ruhusa za wenye nazo au kama ni zake basi akafanye patent brela
 
Hilo gari anatakiwa alipitishe kwenye madimbwi muda huu wa mvua ili kuona je halitapiga shot

Anatakiwa aliendeshe angalau hadi Mwanza au Kigoma akiwa na watafiti ili wagundue shida ikoje.

Tesla imepitia stages nyingi na kila siku wanafanya updates
Ila we jamaa, comments zako kwenye huu uzi zinatuvunja mbavu 🤣🤣
 
Body marcopolo Brszil

Engine Cummins Marekani
Gear box Sweeden
Diff Japana

Gari limetengenezwa kwenye assembling plant ya China model ya Yutong mpo hapo?
Hata kama ila ukiangalia bado design na electicals and electronics ziko vizuri.
Pia development na testing imefanyika kwa muda kabla hayajaja kwa walaji
 
mkuu umeongea point. Leo hii hakuna kiwanda kinachotengeneza kila kitu chenyewe zaid ya assembling ya items mbalimbali ili kupata a complete system. Lkn pia hata kama masoud kakosea basi tumshauri na kumkosoa kwa staha ili kumtia moyo afanye vzr zaidi na kuencourage wengine. Kwa kumkosoa vibaya ni rahisi kuzima ndoto za wengine kirahisi hence kuua maendeleo ya nchi.
Huwezi amka na stoo yako ukasema leo naunda gari, ukachomelea chomelea tu na kusema gari hili hapa.
 
Hata mwekezaji anaangalia kwanza umejipangaje na sio kuchomelea chasis, kunua steering racks Ilala
Akamsome rj scaringe ceo wa rivian jamaa kabuni gari lake ubunifu wake umewavutia wawekezaji sahv ni bilionea
 
Achukue gari la 2023 alafu afananishe na la kipanya ataona jinsi tulivyokua hatupo serious
Tatizo ni kwamba twataka tuweke siasa au kuingiza huruma kwenye maswala yanayohusu binadamu.

Hadi leo Madereva wanalalamika Malori ya Kichina yanawaumiza sana, yaani hayapo comfortable tofauti na mengine. Mchina bado anaendelea fanya design.

Watu washaondoka kwenye vyuma wameenda kwenye carbon fibers ili uzito upungue, yeye anaendelea chomelea vyuma.

Magari kwenye initial phase rangi hupakwa kwa electro plating ili kuzuia kutu, yeye hajafanya hivyo kapiga putty, msasa na kuspray.
 
Ila we jamaa, comments zako kwenye huu uzi zinatuvunja mbavu [emoji1787][emoji1787]
Hata wanao mtetea Masudi wambie wamchangie kwa kuyanunua uone kama kuna mtu atanunua.

Nenda kariakoo uone design ya zile bajaj za umeme na battery yake inabeba mzigo mkubwa inaenda mbali kuliko gari ya masudi
 
Ndio maana wajuba wanacheka pale wakijua kabisa ni mambo mambo katika harakati za kutaka kuwapiga watu na kitu kizito sana😂😂😂😂
Jamaa anatengeneza body kwa kuchomelea kununua mitambo si mchezo kaanza mdogo mdogo kufunga robots za kuchomelea na kupress body ni ela ndefu ambayo masoud hawezi kuwa nayo. So kaanza na anachowezq
 
Shida ni kwamba hamna blueprint ya nini kifanyike kwenye innovation n development. Wenye mamlaka hawaelewi, wananchi hawaelewi etc...
 
Tatizo ni kwamba twataka tuweke siasa au kuingiza huruma kwenye maswala yanayohusu binadamu.

Hadi leo Madereva wanalalamika Malori ya Kichina yanawaumiza sana, yaani hayapo comfortable tofauti na mengine. Mchina bado anaendelea fanya design.

Watu washaondoka kwenye vyuma wameenda kwenye carbon fibers ili uzito upungue, yeye anaendelea chomelea vyuma.

Magari kwenye initial phase rangi hupakwa kwa electro plating ili kuzuia kutu, yeye hajafanya hivyo kapiga putty, msasa na kuspray.
Tanzania hatuko serious kipanya angepelekwa kwenye kiwanda cha magari aone jinsi yanavyotengenezwa angeachana na huo ujinga anao ufanya hayuko serious anafanya masihara
 
Back
Top Bottom