Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,772
- 22,598
Ndio, haiezekani walimu wanatajwa akae kimya[emoji1787][emoji1787]Kumbe kaenda kupunguza stress kwa mam mtu[emoji28][emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio, haiezekani walimu wanatajwa akae kimya[emoji1787][emoji1787]Kumbe kaenda kupunguza stress kwa mam mtu[emoji28][emoji1]
Hahahaha kabsa yaaN na akija atakuja kwa kasi awape madongo yaoNdio, haiezekani walimu wanatajwa akae kimya[emoji1787][emoji1787]
Kuna wale wenye GPA za guesthouse, hao wakafundishe watoto wetu siyo.Kwanza ingefaa ualimu waende wale walofaulu kwa ufaulu wa juu sana (Top Cream) ili wanafunzi wapate elimu bora zaidi kwa maendeleo ya Taifa letu badala ya hali ilivyo sasa.
Siwabezi walimu na ndio wote tunaoweza kuandika na kusoma tumepitia kwao, huo ndio ukweli aliosema Waziri lakini sio wote wanaochagua Ualimu ni kuwa walikwama kupata machaguo mengine.Ameseme ualimu ni chaguo la mwisho baada ya kufeli sehemu zote. Waziri wa elimu kayasema hao dar Es salaam View attachment 2660431View attachment 2660432
Mpwayungu Village
Aina gani ya mtihani watapewa kupima uwezo wao...?
Si itaandaliwa Guidelines mkuu, ili walimu wa Arts wawe na pepa yao na walimu wa Sayansi, Uchumi, Biashara wawe na pepa yao.
Mfano mimi ningependekeza hivi, mtihani uwe na category hizi.
- Pepa kuhusu maadili na sheria za utumishi
-Pepa kuhusu mbinu za kufundisha
-Pepa kuhusu masomo husika uliyosomea.
We kweli ndo ujui kitu ungejua hakuna madarasa magumu kufundisha kama hayo uliyoyataja apoMashule mengi ya msingi na sekondari yamejaa walimu wababaishaji na wakaguzi wa elimu hawalijui hili. Unakuta mwalimu anakwepa kufundisha madarasa fulani anajijua ni mtupu kichwani, wanang'angana na darasa la tatu, nne na form one. Hayo madara mengine ukiacha ya awali, la kwanza na pili wanaogopa sana mada zake. Na wakijikakamua kuingia huko wataruka mada wasizokuwa na uwezo nazo kuzikokotoa. Wanafunzi wanabaki weupe mpaka siku ya mtihani wa mwisho wanakutana na maswali ambayo hawakuwahi kufundishwa na walimu wao. Unakuta shule ina walimu wengi ila ni mmoja tu au hakuna mjuzi wa kukukotoa mahesabu ya mada ngumu kama algebra, jometry, sequence and series, matrix na nyingine nyingi zinazofanana na hizo. Kule kwenye physics na chemistry kunako mahesabu ya equation ni balaa. Sasa kama una mwalimu anafundisha msingi na hakupitia hayo mahesabu au alipitia akaambulia sifuri tegemea akipewa kufundisha msingi ataishia la tatu na nne huko juu akifundisha ataruka mada au atababaisha wanafunzi. Walimu wanye mtihani
Bila ya shaka atakuwa mwalimu huyo babe wake😂😂Tusubiri arudi kwa beb ake[emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tena wa shule ya msingiBila ya shaka atakuwa mwalimu huyo babe wake[emoji23][emoji23]
Hadi Afya wapitie usaili wa kazi.Kwenye comment yangu umeona nimetaja Mhasibu?
Hapa tunazungumzia walimu mbapo mnaanza kusema na Kada ya Afya ifanyiwe interview ndipo nikakueleza namna wanavyopata leseni zao.
Nikamalizia na kusema Walimu hawapitii hizo hatua, na ndio maana tunaunga mkono kauli ya Waziri
Hata nae ilibidi ateuliwe Kisha afanyiwe usali kupima uwezo wakeWalimu wenyewe wanamashaka makubwa sana na uelewa huyo waziri wao maana nae anaonekana hana uwezo mzuri.
Huko hawatoweza kupiga pesa vzr.Why wasi overahul higher education??
Waweke standards mpya za admission kwenye vyuo
Hata hao wakubwa wanaowapa connection za ualimu vijana wao watakuwa wendawazi Bora wawape mitaji midogo tuUkiona hivyo ujue kuna watoto wa wakubwa wameoshalamba vitengo.....hii ni njia ya kuwabana na kuwaminya watoto wa walalahoi.....hongera sana bwana mkenda kwa kuanzisha utaratibu mzuri
Ndio maana kuna kampeni, si mnashindana kuuza sera?Hata nae ilibidi ateuliwe Kisha afanyiwe usali kupima uwezo wake