cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Haswaaa, nao wawe na posho na marupu rupu.Wasisahau kuwapelekea na package ya mishahara kuanzia M1 na posho ya kufundishia na posho ya nyumba.
Otherwise waache ujinga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haswaaa, nao wawe na posho na marupu rupu.Wasisahau kuwapelekea na package ya mishahara kuanzia M1 na posho ya kufundishia na posho ya nyumba.
Otherwise waache ujinga.
Kila mbunge anaweza kuwa waziri?Yeye ashafanyiwa na wananchi kama mbunge. Elewa kuwa Waziri lazima uwe Mbunge, afu waziri ni mshauri wa Rais lazima uelewe.
Sio kila mbunge anaweza kuwa waziri lkn ni lazima waziri awe Mbunge.Kila mbunge anaweza kuwa waziri?
Ndio.Kila mbunge anaweza kuwa waziri?
mkaguzi hana jeuri ya kumkagua deeply mwalimu kwa sababu naye ni mwalimu huenda alikuwa kilaza na doja mkubwa wa kufundisha kibabaishaji. Yeye atimize majukumu yake arudi wilayani. Walimu wazoefu wa kazi hawaogopi wakaguziHivi haya mambo Huwa mnayajuaje!? Wewe ni mkaguzi!? Kwan wakaguzi hujui ni walimu nao walikimbia!?
yale madarasa hutaka walimu watu wazima waliotulia wasio na papara na blabla. Pandeni juu acheni kukimbilia darasa la tatu na nne, au mshuke huko chini awali, la kwanza na pili. Kiujumla mwalimu unatakiwa ujue kufundisha madarasa yoteWe kweli ndo ujui kitu ungejua hakuna madarasa magumu kufundisha kama hayo uliyoyataja apo
Ni ujinga mwingine na upotevu wa rasilimali pesa na muda wa vijana. Hiyo mitihani mliowafanyisha huko vyuoni haitoshi?Ule mtazamo kuwa taaluma ya ualimu ni chaguo la mwisho baada ya kukosa fursa nyingine unakaribia ukingoni, baada ya Serikali kutangaza utaratibu mpya katika ajira za taaluma hiyo.
Utaratibu huo, kwa mujibu wa Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda utahusisha, ili uajiriwe kuwa mwalimu utapaswa kufanya mtihani wa kupima uwezo wako.
Kwa sasa, ajira ya ualimu inahusisha kutuma maombi katika tovuti maalum ya maombi ya ajira, kisha anayepata nafasi hufanyiwa usaili kisha kupangiwa eneo la kazi.
Mwananchi
Hakuna atayepata Ufaulu mkubwa akaenda Ualimu.Why wasi overahul higher education??
Waweke standards mpya za admission kwenye vyuo
Walimu wengi ukiwapiga chenga kidogo wanapoteaMbona fresh tu. Huo utaratibu ni mzuri, ishu je mtihani utahusu nini, ni yale masomo ya sekondari au ya chuo? Maana chuoni ni mbinu za kufundishia tu na sekondari ni yale masomo ambayo mwalimu atayakuta shuleni akafundishe. Sasa huo mtihani uta base wapi? Kimsingi walimu wanatakiwa kupimwa yale wanayoenda kuyafundisha na si yale waliyofunzwa chuoni. Kuna vituko vingi sana mashuleni walimu kukwepa kufundisha baadhi ya masomo na madarasa
Kwanini ja people na msukuma hawateuliwi na Hamis mwijuma kaingia juzi tu bungeni Kawa naibu waziriNdio.
Hapo kutakuwa na uwianoKada zingine mbona wanafanya interview
sasa uliusomea wa nini, au hujaelewa topic?Unanifanyisha usaili kwa mshahara upi wa ualimu?
Utumishi wanatakiwa wawe makini katika usaili waoNiliombwa kushiriki usaili kwenye halmashauri moja, wakati huo mimi nikiwa mtumishi kutoka serikali kuu kwenye hiyo wilaya. Sasa akaja jamaa mmoja aliyeomba nafasi ya uhasibu,na kuna bwana alikuwa ndiye acting DT wa hiyo halmashauri akaanza kumpiga maswali. Jamaa akiulizwa swali anawasahihisha kwanza wanaomuuliza kwamba nadhani kwenye swali lenu mnamaanisha hiki na hiki na then anatoa majibu. Kuna muda akawa anawapiga shule wanaomuuliza maswali akiwemo huyo acting DT. Baada ya maswali machache ilibidi wamuache na kumuambia asubiri nje maana alikuwa anawaaibisha.. [emoji23] [emoji23]
Huyu waziri ni pasua kichwa anahangaika na mambo ya hovyo kuliko mambo ya maana. Ajifunze kwa wenzake km Mwigulu, Mbarawa au January wanaofanya mambo makubwa ya kusaidia nchi. Waziri unadeal na petty issues zisizo na mashiko. Huo mtihani utahusu nini, mtu amekaa miaka 6 mtaani na frustration unawaza kumwongezea stress? Mbona ana roho ya kikatili hivyo? Yeye akitungiwa mtihani sasa hivi ana uhakika atafaulu? Ni mtihani wa nini kwanza, masomo aliyosomea miaka 3 chuoni? Ukiwa na waziri profesa anajihangaisha na mambo ya hovyo namna hii ni aibu. Abadilishwe wizara ameshalewa huko Elimu.Ule mtazamo kuwa taaluma ya ualimu ni chaguo la mwisho baada ya kukosa fursa nyingine unakaribia ukingoni, baada ya Serikali kutangaza utaratibu mpya katika ajira za taaluma hiyo.
Utaratibu huo, kwa mujibu wa Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda utahusisha, ili uajiriwe kuwa mwalimu utapaswa kufanya mtihani wa kupima uwezo wako.
Kwa sasa, ajira ya ualimu inahusisha kutuma maombi katika tovuti maalum ya maombi ya ajira, kisha anayepata nafasi hufanyiwa usaili kisha kupangiwa eneo la kazi.
Mwananchi