Serikali yaanzisha Tahasusi (Combination) mpya 49, sasa zitakuwa 65

Wanasoma
What is Physics
What is Chemistry
Wahat is Biology
Ndio mkuu, Mwanangu wa Mwisho alikuwa akisoma hivyo, na sasa hivi kaingia Form one mwaka huu!
Nilikuwa nikikagua Baadhi ya Notes zake na pia kuna maswala ya Respiration na osmosis Na reproduction wanasoma wakifika STD VI na VII
 
Std six angalau ila 3 naona kama mapema sana
 
Hawa vilaza wameacha SoMo la lugha ya kijerumani yenye fursa kedekede Kwa sasa ulimwenguni,wajinga Sana hawa vilaza.
Wajerumani wenyewe wanaona Kiswahili na kingereza ndio fursa kwao.

Kijerumani sio lugha ya Dunia labda mpaka uwe na safari ya ujerumani bora hata Kiswahili unaweza kupuyanga nacho kuanzia kusini, mashariki na kati ya Afrika na ukatoboa
 
Usiongee usiyoyajua,unamfahamu program za BFD na FSJ wananufaika watu gani? Leo hii ukisoma kijerumani basic ya level ya A1 unapata visa ya opportunity card kwenda kujitafuta ujerumani na Kwa dada ukisoma A1 unaenda na programm ya uapair kula maisha ujerumani,acha kuongea usichokijua.
 
Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom