Serikali yaanzisha Tahasusi (Combination) mpya 49, sasa zitakuwa 65

Wajerumani wenyewe wanaona Kiswahili na kingereza ndio fursa kwao.

Kijerumani sio lugha ya Dunia labda mpaka uwe na safari ya ujerumani bora hata Kiswahili unaweza kupuyanga nacho kuanzia kusini, mashariki na kati ya Afrika na ukatoboa
Futa hii Mkuu 😂😁😁 unakosea sana hapo
 
Ni kwenda kukua na kupoteza Muda kule
Kumbe na wewe una akili akili [emoji16][emoji16] A LEVEL ni kirusi cha saikolojia kinacho ua motisha ya O- LEVEL mwanafunzi anawaza tena akimaliza o level aendelee na a-level [emoji856][emoji856][emoji856][emoji856]
 
Hujafunga?
Haaaaa kwani ujui kuwa wafungaji tanzania ni waisiharamu yaheee ......wenzio tuna angalia upepo tukikuta misosi minono [emoji490][emoji490][emoji491][emoji491][emoji894][emoji894][emoji487][emoji487][emoji489][emoji489][emoji492][emoji492][emoji492][emoji492][emoji492]tuna fungua yahee tutalipia siku nyingine shekhe wangu[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kumbe na wewe una akili akili [emoji16][emoji16] A LEVEL ni kirusi cha saikolojia kinacho ua motisha ya O- LEVEL mwanafunzi anawaza tena akimaliza o level aendetena o level [emoji856][emoji856][emoji856][emoji856]
Mkuu N'take Radhi bhna 😅😅
 
Ndio mkuu, Mwanangu wa Mwisho alikuwa akisoma hivyo, na sasa hivi kaingia Form one mwaka huu!
Nilikuwa nikikagua Baadhi ya Notes zake na pia kuna maswala ya Respiration na osmosis Na reproduction wanasoma wakifika STD VI na VII
Unaambiwa Physics, Chemistry na Biology ww unaongelea reproduction, mbona humuelewi anachokuambia?
 
Unaambiwa Physics, Chemistry na Biology ww unaongelea reproduction, mbona humuelewi anachokuambia?
Nimemuelewa na ndiyo maana nimejibu na Yeye kanielewa na ndo maana tuliweka conclusion Wote wawili..

Hakuna Somo la physics, Chemistry wala Bios ila masomo hayo yapo kwenye Somo la science kama topics mchanganyiko sawa na hiyo topic ya Repro niliyoitaja..
Umenielewa?
 
Tanzania as part of East Africa can do wonders kwenye Wataalamu as per our Elimu. Ila atupo Serious Bado! We need Nyerere mwingine na pia Mungu aje atupe Magufuli Mwingine🙏Bado atuna mwenye Uchungu na sisi Wadanganyika😭
 
Hivi Geography na languages zina correlate vipi? Namaanisha why HGK, HGK, HGF? Kwangu bora HKL, HKF, HLF where L = Literature in English.

Unazama kwenye lugha kweli kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…