Harafu watu wasiojua mambo wanashangilia eti mkulima ananufaika mkulima hanufaiki na chochote ingieni huko mjifunze ni ma dalali wanapiga hela balaa.Bwasheee anasema anaruhusu chakula kisombwe holela kwenda nje ili wakulima wanufaike wakati kiuhalisia wanaonufaika ni madalali na walanguzi...
Harafu watu wasiojua mambo wanashangilia eti mkulima ananufaika mkulima hanufaiki na chochote ingieni huko mjifunze ni ma dalali wanapiga hela balaa.
Tena hiyo lumbesa ndo balaa unaweza kulia.Kweli kabisa, maana tunajua hawa madalali na walanguzi wa mazao wanawaibia wakulima kupitia kubana mizani, kuwapa bei ndogo, kujaza lumbesa na kununua mazao machanga shambani kwa bei chee kupitia kangomba..........sasa hapo mkulima ananufaika vipi?
Kwahiyo wabongo wanaoishi nnje wana agiza mchele kutoka Simba wanga??Mchele wa nje hauliki kwa mapishi ya tz,labda kwa ajili ya vitumbua
Hiii, hii nayo sasa tumehuru iweje tufanye imports wakati wakulima wetu wapo.Tumetangaziwa kuwa kuna watu/Kampuni binafsi wamepewa vibali vya kuagiza mchele tani 90,000. Swali ni akina nani hao, wameteuliwa, wameshindanishwa au wamejiteua....
Usitarajie muujiza, wafanya biashara wenye dna ya ufisadi wako madarakani.Bora mchele ushuke bei,mengine hayatuhusu
Hakuna kitakachobadilika awamu hii ya mzee wa msongaNacho Kiomba Wawahishe Tu Hali Sio
Mimi sisubiri kama wewe, natafuta mwenyeweWewe subiri ubwabwa tu
Mchele unaletwa na Msoga Kingdom team!Tumetangaziwa kuwa kuna watu/Kampuni binafsi wamepewa vibali vya kuagiza mchele tani 90,000. Swali ni akina nani hao, wameteuliwa, wameshindanishwa au wamejiteua? Kuna kamchezo ka siku nyingi ka viongozi kujitengenezea michango wao na familia zao au watu wao wa karibu. Bahati mbaya marehemu alitutengenezea bunge la mchongo lenye Phd za mchongo na wabunge wa mchongo. Hakuna wa kuhoji
Na hapa watuagizie Mchele uliona na kiwango sio kwenda kutuagizia makapi kwani hii nchi ishakuwa ya kutupa taka! Hatutaki kitumbo hapa.Tumetangaziwa kuwa kuna watu/Kampuni binafsi wamepewa vibali vya kuagiza mchele tani 90,000. Swali ni akina nani hao, wameteuliwa, wameshindanishwa au wamejiteua? Kuna kamchezo ka siku nyingi ka viongozi kujitengenezea michango wao na familia zao au watu wao wa karibu. Bahati mbaya marehemu alitutengenezea bunge la mchongo lenye Phd za mchongo na wabunge wa mchongo. Hakuna wa kuhoji
kama una jeuri omba na wewe uagize.Tumetangaziwa kuwa kuna watu/Kampuni binafsi wamepewa vibali vya kuagiza mchele tani 90,000. Swali ni akina nani hao, wameteuliwa, wameshindanishwa au wamejiteua? Kuna kamchezo ka siku nyingi ka viongozi kujitengenezea michango wao na familia zao au watu wao wa karibu. Bahati mbaya marehemu alitutengenezea bunge la mchongo lenye Phd za mchongo na wabunge wa mchongo. Hakuna wa kuhoji
Kwa hiyo mmepewa watu wa pwani, wazaramo tu?kama una jeuri omba na wewe uagize.
misukuma bana
Asububiri mchele wa kitumbo, kilo moja mnakula kijiji,Wewe subiri ubwabwa tu
Kutafuta ndio kusubiri mwenyewe bwashee!Mimi sisubiri kama wewe, natafuta mwenyewe
Nyie mnao kila kwa mashemeji zenu mna matatizo, hamjui uhalisia wa maisha ya watanzania wa kawaidaKutafuta ndio kusubiri mwenyewe bwashee!
Atafutaye ana kupata au kukosa!