Serikali yatoa kibali kuagiza mchele nje ya nchi
Bwasheee anasema anaruhusu chakula kisombwe holela kwenda nje ili wakulima wanufaike wakati kiuhalisia wanaonufaika ni madalali na walanguzi...​
Harafu watu wasiojua mambo wanashangilia eti mkulima ananufaika mkulima hanufaiki na chochote ingieni huko mjifunze ni ma dalali wanapiga hela balaa.
 
Kweli kabisa, maana tunajua hawa madalali na walanguzi wa mazao wanawaibia wakulima kupitia kubana mizani, kuwapa bei ndogo, kujaza lumbesa na kununua mazao machanga shambani kwa bei chee kupitia kangomba..........sasa hapo mkulima ananufaika vipi?​
 
Tena hiyo lumbesa ndo balaa unaweza kulia.
 
Tumetangaziwa kuwa kuna watu/Kampuni binafsi wamepewa vibali vya kuagiza mchele tani 90,000. Swali ni akina nani hao, wameteuliwa, wameshindanishwa au wamejiteua?

Kuna kamchezo ka siku nyingi ka viongozi kujitengenezea michango wao na familia zao au watu wao wa karibu. Bahati mbaya marehemu alitutengenezea bunge la mchongo lenye Phd za mchongo na wabunge wa mchongo. Hakuna wa kuhoji
 
Tumetangaziwa kuwa kuna watu/Kampuni binafsi wamepewa vibali vya kuagiza mchele tani 90,000. Swali ni akina nani hao, wameteuliwa, wameshindanishwa au wamejiteua? Kuna kamchezo ka siku nyingi ka viongozi kujitengenezea michango wao na familia zao au watu wao wa karibu. Bahati mbaya marehemu alitutengenezea bunge la mchongo lenye Phd za mchongo na wabunge wa mchongo. Hakuna wa kuhoji
Mchele unaletwa na Msoga Kingdom team!
Kama haumo kwenye huo Ufalme endelea na umachinga mtaani!
 
Tumetangaziwa kuwa kuna watu/Kampuni binafsi wamepewa vibali vya kuagiza mchele tani 90,000. Swali ni akina nani hao, wameteuliwa, wameshindanishwa au wamejiteua? Kuna kamchezo ka siku nyingi ka viongozi kujitengenezea michango wao na familia zao au watu wao wa karibu. Bahati mbaya marehemu alitutengenezea bunge la mchongo lenye Phd za mchongo na wabunge wa mchongo. Hakuna wa kuhoji
Na hapa watuagizie Mchele uliona na kiwango sio kwenda kutuagizia makapi kwani hii nchi ishakuwa ya kutupa taka! Hatutaki kitumbo hapa.

Kwa uelewa tu wenye kupewa vibali ni wale wale wenyewe Kwa wenyewe wanakula na wenye nchi.
 
Tumetangaziwa kuwa kuna watu/Kampuni binafsi wamepewa vibali vya kuagiza mchele tani 90,000. Swali ni akina nani hao, wameteuliwa, wameshindanishwa au wamejiteua? Kuna kamchezo ka siku nyingi ka viongozi kujitengenezea michango wao na familia zao au watu wao wa karibu. Bahati mbaya marehemu alitutengenezea bunge la mchongo lenye Phd za mchongo na wabunge wa mchongo. Hakuna wa kuhoji
kama una jeuri omba na wewe uagize.
misukuma bana
 
Back
Top Bottom