Mjinga tuu huyo Waziri wenu,hakuna sababu ya kuagiza mchele Nje ya Nchi maan upo wa kutosha Nchini.
Hii kazi uliyojipa naona nawe utachanganyikiwa siku sio nyingi, mchele upo wa kutosha halafu uwe wa bei juu hivyo?!
 
Reactions: nao
Silijui mkuu niambie Mana yake. Naona ego iko kazini. Mie Ni kilaza sijui kitu Nina Imani wewe unajua mno ivyo nieleweshe msomi uliyegundua kisomo. Salute kwako brain kubwa.
Mie Nina uwezo mdogo mno mkuu inawezekana hata paka wako akawa
Na wewe utakuwa una emotional pain trauma , katika ongea yako unatumia rational brain Ila Ni emotional brain ndio inayoongoza. So Kama hapa naona ego, arrogance unayo. So unajijua kuwa ndiye pekee unayestahili kujua ama kumiliki kitu. Human emotions zinajulikana so hunishtui. Anapenda ku boast coz of ego, anayo fear,pride, greed, hakuna jipya. Binadamu Ni yule yule na atabakia kuwa yuleyule Kama ambavyo maji yataendelea kuteremkia bondeni ama chuma kuvutwa na sumaku. Your survival instincts Ni kukutengenezea ama kulinda your self image sema mie nimechagua self actualization. Napenda innerself yangu Basi wala sihitaji nionekane. Mie kwanza kilaza wewe uko juu usikute hata umeshagundua alfabeti zingine ama bado unatumia hizihizi ambazo wajanja wenye akili waligundua.


Elewa kuwa am assshoole,am dumbsheet ,am loser,am failure, and all related to that.
Buy you're the top of the Everest peak,yaani wewe Ni mjanja ndiye unayejua Mana ya Hilo neno kuliko wengine Mana utakuwa umeligundua.
Let me leave your ego keep growing.
 
Siku zote njia ya mwongo ni fupi tulimwambia Bashe nchi haina chakula stop export ya mazao kwa muda mpaka hali ikawe vizuri, tukapewa majibu kwamba hatumsaidii mkulima shmbani. Leo tena tumeamua kufanya importation ni nini tunafanya??

Viongozi wetu wanatambua wanachofanya??
 
Huu ndio ujinga bwashee, tunauza quality, tunanunua mitumba[emoji1787][emoji1787][emoji1787] halafu tunajisifu tumefungua nchi🫣🫣
Mbeya super umesombelewa kenya, sisi tumebaki na ule wa chenga ambao ungetumika kwa vitumbua na bado unauzwa zaidi ya buku tatu......bwashee bado anaendelea na ngonjera yake ya kumnufaisha mkulima.
 
Kama Baraza la Ufalme wa Msoga limekaa kama kamati na kupitisha uagizaji wa Mchele ili wapige pesa,sisi ni nani Wasakatonge na Watumwa wao tupinge!

"Kifungu icho kinaafikiwa?-aliuliza Spika wa Bunge la Ufame wa Msoga kwa Wajumbe.

Mimi sikumbuki vizuri ila nilisikia sauti; NDIYO OOO.....

Imeisha iyo,kila mtu apambane na hali yake!
 
Mjinga tuu huyo Waziri wenu,hakuna sababu ya kuagiza mchele Nje ya Nchi maan upo wa kutosha Nchini.

Unaifahamu vizuri concept ya demand & Supply?? Uzuri wa market inaongozwa na hizo forces 2 na hapo ndo tunapata Market price.
 
Ila Bibi anaendesha nchi kama lile Land cruiser lake la Royal Tour!!
 
Mbeya super umesombelewa kenya, sisi tumebaki na ule wa chenga ambao ungetumika kwa vitumbua na bado unauzwa zaidi ya buku tatu......bwashee bado anaendelea na ngonjera yake ya kumnufaisha mkulima.
Bashe ile kampuni ya magazeti ilimfia mikononi mwake!
 
Nchi iko Autopilot hii.....

Unasema wauze tu nje, unarudi kusema tunaagiza nje kupunguza bei ya ndani! Kinana na Bashe walipigania hasa mazao yauzwe nje, ina maana....

Patheticians on a wheel.
 
Wadanganyika tumegeuzwa duka la rejareja. Toa mzigo ingiza mzigo. Pakia pakua... Ilimradi tu boss apate super normal profit. Hapa machawa wanafumba macho na kuziba masikio, wanahofia kuulizwa sera za mwamba kuhusu mazao ya kilimo zilikuwa nzuri ama vp.
 
Ni aibu kwa serikali kuagiza CHAKULA kutoka nje kusikojulikana ili iwauzie WANANCHI wake.
Hakuna aibu yoyote ile.
Serikali haiuzi bali imetoa vibali kwa Korie, Metl walete mchele
 
Nchi iko Autopilot hii.....

Unasema wauze tu nje, unarudi kusema tunaagiza nje kupunguza bei ya ndani! Kinana na Bashe walipigania hasa mazao yauzwe nje, ina maana....

Patheticians on a wheel.
Bashe ameshindwa wizara.

Kinana nae kusemea wizara anakosea.

Na leo waziri wa biashara asema serikali itatoa kibali.

Hapa kwanza panaonyesha matatizo makubwa ya kiuongozi na mwingiliano wa majukumu.

Suala la chakula ni jukumu ya waziri wa kilimo na chakula.

Je, mheshimiwa Bashe yeye akiwa waziri ana mikakati ipi ya kuhakikisha uzalishaji upo katika hali inoridhishaaa?
 
Hakuna aibu yoyote ile.
Serikali haiuzi bali imetoa vibali kwa Korie, Metl walete mchele
Bado hio ni aibu kuagiza chakula kutoka nje.

Pia yanyesha kiwango kikubwa cha tamaa ya kupata faida kubwa.

Tatu, kunaonyesha jinsi waagizaji walivyo na nguvu kubwa ya ushawishi.

Na nne kutowajali wakulima ambao ndo wazalishaji kule mashambani.
 
Wanaagiza kwa ndege au meli?,, Kama ni kwa meli, huo mchele kama alivyoongea Bashe,, utakuja kuua bei ya mchele wa wakulima, mwezi may
 
Dunia ni kununua na kuuza. Unauza kwa wingi alafu unanunua kwa uchache. Unapata ela alafu unatoa ela. Huoni Urusi ana ndege Antonov lakini ananunua pia ndege za Boing au Airbus. Ulimwengu wa biashara ni Uza Nunua au Lima Uza.Acheni sera zenu za woga za lima, Vuna, Weka Akiba. Kisipokuwepo kuna sehemu kipo tutanunua, na Kikiwepo kuna sehemu hakipo tutapeleka.

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…