Serikali yatoa ufafanuzi wa akiba ya Fedha za Kigeni, makosa yalifanyika

Serikali yatoa ufafanuzi wa akiba ya Fedha za Kigeni, makosa yalifanyika

Wanaonaje ktk hiyo akiba ya kutosheleza kwa miez7 wapunguze akiba ya mwez mmoja iwe kama repairing ya uchumi wa nchi kwa kutoa mikobo kwa wafanya biashara wadogo, kupunguza bei ya pembejeo za kilimo, kufanya upanuzi wa majiji ya nchi, ikiwepo kukarabati njia za mijini na vijijini, pia kutatua kero ya maji na umeme?[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15].

Najua hakuna majibu ya haya maswal, zaid zaid kuna upigaji na utapeli wa kiwango chakutisha..

Hii nchi ina viongozi wa hovyo sana
 
Mkuu JokaKuu , kwa mujibu wa katiba ya JMT ya mwaka 1977, rais wa JMT, hawezi kukosea wala hawezi kufanya makosa ndio maana hawezi kushitakiwa kwa kosa lolote!.

Kukitokea kosa lolote la rais kama hilo la kukosea data, rais anakuwa hajakosea, bali anakuwa ni amekoseshwa na wasaidizi wake!, tena lugha ya heshima sio kusema rais amekosea, bali ni rais hakuwa sahihi kutokana na kosa la typo tuu ambalo ni rais amekoseshwa na wasaidizi wake!.

Tena Tanzania ingekuwa ni nchi inayoheshimu truthfulness and transparency, pia tungeezwa aliyemkosesha rais wetu kwa typo, ni nani na amefanywa nini?. Kama ni typist , then kosa la typo kwa typist ni common mistakes, typist haadhibiwi kwa typo,

Pia kosa la typo kwenye taarifa ya kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu, sio kosa lao, kurugenzi inatoa ilichopewa, lakini kosa la typo kwa proof reader au msaidizi wa rais hotuba, sio kosa dogo!, huu ni uthibitisho ndani ya Ikulu yetu tuna watu ambao hawatoshi!.
P
Hii kazi yakuwa msaidizi wa president labda inaweza kukufaa ......shida unaforce ubunge wa Kawe ila sir God anakutaa kama vile alimkatalia jiwe kumkill TAL.
 
..kwa hiyo Rais alikosea?

..Na taarifa ya Ikulu haitolewi namna hiyo.

..Jina la anayetoa taarifa na nafasi yake huko Ikulu ni moja ya vipengele vinavyotakiwa kuwepo ktk taarifa.

cc Pascal Mayalla
Rais hakosei ..hii sio mara moja, Mwanza aliwahi hutubia na kusema dollar zaidi ya billion 4 . Na sasa zimepanda ni zaidi ya dollar billion 6.

Kuweka sawa maana yake wanaiba dollar zetu zipungue HAZINA.

Wasema taarifa ni sahii sisi ni matajiri.

mambo ni vururu vururu hiyo taarifa ya Ikulu au tweetar ya Mwigulu hii .,?!
Nchi imeparaganyika sana hii.

Katiba mpya ni lazima kwa sasa.
 
Mkuu igogondwa , sio tuu rais anapitia, bali kuna watu maalum, paid by taxpayers money for doing that. Hizo ni figures and data hivyo uki feed wrong data , rais Samia sio mtu wa data na calculus kama JPM, what you feed in is what comes out.
P
Rasmi mkuu ume declare war against Madame president you mean SSH operates on GIGO basis??? Polepole ,Ndugai na wewe mekuwa enemies of state ..wawatwange risasi like what you did kwa TAL
 
haya topic imeisha, tuanze topic nyingine sasa...cc Behaviourist .... tuendelea kuenjoy demokrasia..
Topic haijaishi. Ni muhimu kufahamu huko Ikulu, kwa nini wamewekwa wajinga wasioweza hata kuandaa hotuba ya Rais kwa usahihi. Hilo siyo kosa linalotegemewa kufanywa na mtu yeyote hata mwenye uelewa wa kawaida.

Huyo muandaaji wa hotupa, akili yake, ni dhahiri ipo below average. Kumweka mtu mwenye akili ndogo sana kuwa ndiye mtu wa kuandaa hotuba za Rais, kwa vyovyote ni tatizo kubwa.
 
Mama yao vidudu chawa, viroboto na nyuki. Ni muongo sana tena sana.
Hakuna cha kuandikiwa MaCCM yanaishi kwa uongo uongo sana.

BFC5EC43-E31B-4BF5-9457-4A75C92480CD.jpeg

Fungu la kukosa hili huwezi kuzaa wadudu hivi. Kulikoni Samia unatujazia vidudu badala ya maendeleo?!
Katiba mpya ni lazima.
 
..kwa hiyo Rais alikosea?

..Na taarifa ya Ikulu haitolewi namna hiyo.

..Jina la anayetoa taarifa na nafasi yake huko Ikulu ni moja ya vipengele vinavyotakiwa kuwepo ktk taarifa.

cc Pascal Mayalla
Nyongeza tu...hii haikupaswa kuwa ufafanuzi bali ni masahihisho. Hapo bado hawajakubali kama wamekosea. Inafafanuwa pale ambapo jambo ulilolisema halijaeleweka na unasahihisha pale uliposema jambo ukakosea.
 
Hatimaye, maana msemaji wa kujitolea wa serikali Ndg. Zitto alikuwa haoni umuhimu wa ufafanuzi, asanteni IKULU.
Kumbe wamekubali huwa wanakosea? Basi ni jambo jema. Huyo Zitto toka akose ubunge akili yake ilihama kabisa.
 
Mkuu igogondwa , sio tuu rais anapitia, bali kuna watu maalum, paid by taxpayers money for doing that. Hizo ni figures and data hivyo uki feed wrong data , rais Samia sio mtu wa data na calculus kama JPM, what you feed in is what comes out.
P
Hata Kama sio mtu wa data, ni common sense tu ukiambiwa dola bilion 6000 lazima ushtuke.
 
Topic haijaishi. Ni muhimu kufahamu huko Ikulu, kwa nini wamewekwa wajinga wasioweza hata kuandaa hotuba ya Rais kwa usahihi. Hilo siyo kosa linalotegemewa kufanywa na mtu yeyote hata mwenye uelewa wa kawaida.

Huyo muandaaji wa hotupa, akili yake, ni dhahiri ipo below average. Kumweka mtu mwenye akili ndogo sana kuwa ndiye mtu wa kuandaa hotuba za Rais, kwa vyovyote ni tatizo kubwa.
Ni sahihi kabisa na ndio maana hadi sasa nchi imeingia kwenye mikataba ya ajabu sana.
Ikiwa hawawezi kutofautishaa Kati ya billion na million basi tutegemee kwenye mikataba tutapigwa hadi tukome
 
Kwenye wasaidizi wa karibu wa Mh. Rais kuna tatizo. Labda la kmfumo au tatizo la maksudi ili Mama aonekane hafai. This is very serious.. Imagine ingekuwa ni maamuzi ya kumnyonga mtu, si tayari amekfa?? Taasisi ya Urais sio ya kufanya makosa ya kijinga kama hili.
Sasa yule anayeshauriwa ^kufanya makosa ya kijinga kama hili^ na akalifanya, unamweka kwenye kundi gani?
 
Ni jambo jema
Funzo- Fukuza kazi waandaaji wa hotuba zako
Wasaidizi wako reshuffle haraka sana
Utatushukuru Wananchi baadae
Sio kila aliye jirani yako ni mwema kwako
Bado una nafasi ya kurekebisha mengi
Jitenge na Waovu
Bro wa mti wa mzambarau uwe na akiba ya maneno
Cut your tongue short
Umekuwa kama nawe makamu wa Mtawala kama sio waziri mkuu umejipachika vyeo vingi
Tulia WaTz sio wapumbavu kama unavyosema wewe
Sasa hapa nani mpumbavu
Nchi hii mweh!
Then, na yeye ajifukuze, au siyo?
 
Ikulu imetoa ufafanuzi ni kuwa akiba iliyopo ni dola za kimarekani milion 6253 na sio dola bilion 6253.

Ni vizuri kusahihisha makosa, Ila mjitahidi yasiweze kujirudia tena kwenye hotuba za Raisi na nashauri kabla ya raisi kwenda hewani pitieni hotuba zaidi hata ya mara 5 ili kujiridhisha hakuna makosa.

Ufafanuzi ni uungwana

View attachment 2066244

Pia soma: Hii akiba ya fedha za kigeni dola Bilioni 6,253 aliyosema Rais Samia kiboko, deni la Taifa lingekuwa hela ya peremende
Kwi Kwi Kwi
 
Back
Top Bottom