Siku hizi mabasi ya abiria yanafungwa ving’amuzi vya Azam TV

Hao vijana 20K wameajiriwa wapi na Dewj?
 
Tupiamo kasource kidogo bas
Hizo hapo,




Ila sasa cha kuzingatia, Mo yuko kwenye list ya forbes real time billionaires, inayobadilika kila siku.... na hata list ya africa's richest ya january alikuwepo. Bakhresa mara ya mwisho kutajwa ilikua chapisho la 2015.

Sasa forbes hua wanasema watu wote wanaowaweka kwenye list hua wanawasiliana nao kufanya makadirio ya hizo net worth, bakhresa kutokuwepo kwenye list tokea 2015 inaweza maanisha aliacha kuwasiliana nao, anaweza akawa ametajirika zaidi.

Kingine Mo na Bakhresa kampuni zao ni privately held, hazipo kwenye masoko ya hisa, kwahiyo ni ngumu sana kujua utajiri wao, kudanganya ni rahisi.
 
Mnifafanulie mwamedi uwa anamzidi vipi utajiri baresa, au mi ndo sielewi
Mwamed kulingana na BOT ndio kiumbe anachangia asilimia 2.5 ya bidhaa zote zinazozalishwa na kununuliwa ndani ya nchi,hii takwimu ni balaa mno kwa kampuni moja kufanya,kama secta ya viwanda kwa ujumla inachangia asilimia 8 kwenye gdp.Mwamed anatajwa na serikali na wahusika hajitaji mwenyewe.
 
Halafu kwanini watu wanamlinganisha Mo na Mzee Said Bakhresa mwenyewe, inatakiwa wamlinganishe Mo Dewji na Yusuf Bakhresa hao ndio rika moja, Mzee Bakhresa anatakiwa alinganishwe na baba yake Mo Mzee Gulam Dewji ndio rika moja
Kumlinganisha Bakheresa aliyeutafura utajiri wake mwenyewe na Mo aliyerithi utajiri wa familia haina mashiko pia.
 
Africa bado ni bara la giza, kila kitu shaghalabaghala.
 
Laki na nusu kwa mwezi?!
Huu ni sawa na utumwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…