Siku Rais Samia akigundua wanawake ndio wanaompinga zaidi, atawapigia magoti wanaume

Hajui hata kukaa hapo wanume ndo wanamkingia kifua.....
 
Kwa mara ya kwanza huyu mama yenu atawaongoza wanawake wenzake kumwaga damu za wanyonge ili tu aweze kuendelea kuwa malkia
 
Sijui mlitaka huyu mama awatolee ziwa mnyonye...yeye ndo raisi,hata yule aliyekufa alikuwa kibri baada ya NGEKEWA ya uraisi,hivi vitisho vingine vitaishia humu na havina madhara yoyote kwa mtu wa level yake ni kujifurahisha kwa wana JF.
 
Sawa mkuu wangu.....

Ila......

Chuki yoyote huviza moyo.....

Chuki tu haiondoi uwepo wa fulani alipo.....

#SiempreJMT
 
Namba tatu na nne ziko wazi, nimeona maofisini, huko vyuoni na kwingineko, kuliko mwanamke amuachie mwanamke mwenzake awe mbele yake, kwake anaona bora mwanaume akae mbele wakose wote, naamini hii ni nature yao.
 
Mwanamke kumkubali mwanamke mwenzie siku zote kibongo bongo huwa shughuli maza anadata na amsha amsha za jukwaani

Lakini ukweli utabaki pale pale kwa mfumo wa nchi yetu mtu hubebwa na system ya chama na si mtu kutafuta kuungwa mkono
 
Labda wale wajinga ila wengi wako nae na wanamtetea..ujue nyie watu wa mjini huwa mnajilisha Sana upepo na kusahau kwamba Vijijini ndiko kuna wapiga kura na huko ndiko Rais anapambania kuweka mambo sawa ..
 
Mwanamke kumkubali mwanamke mwenzie siku zote kibongo bongo huwa shughuli maza anadata na amsha amsha za jukwaani

Lakini ukweli utabaki pale pale kwa mfumo wa nchi yetu mtu hubebwa na system ya chama na si mtu kutafuta kuungwa mkono
Acha uongo mkuu,kwani ameanza leo mambo ya uchaguzi?

Mbona kuna wabunge wanawake wengi tuu,na unadhani wanawake waache kuchagua ccm watamchagua nani? Lisu ? 😄😄
 
Acha uongo mkuu,kwani ameanza leo mambo ya uchaguzi?

Mbona kuna wabunge wanawake wengi tuu,na unadhani wanawake waache kuchagua ccm watamchagua nani? Lisu ? 😄😄
Rudia kusoma kwa kuturia utanielewa. hasa kipande cha pili
 
Umetumia kipimo gani kutambua wanawake wengi ni CCM, research au zile sare zao za kijani ambazo hata mashabiki wa Yanga wakivaa wanaonekana kama CCM?
mwanamke yake ni tamaa, mfano kwa tamaa yako ya mwili mumeo atakutawala, sasa hiweke kwenye pesa au Mali nk. Na kama tamaa yake sio kwako au pesa au Mali hamumtawali. kwa mujibu wa sayansi ya biblia.
 
Habari za mwamko wananchi!

Binafsi nampenda Rais Samia Suluhu Hassan kuliko Magufuli, hii haimaanishi kuwa mimi ni team Samia Suluhu bali tukiweka mzani kati ya Magufuli na Samia binafsi nitaangukia kwa Rais Samia Suluhu.

Turudi kwenye mada. Ni kwamba wananchi hasa wanawake wameshamchoka huyu mama. Kila ninakopita wanawake nawasikia wakimrushia vijembe kuwa anazurula hovyo. Ninaona haja sasa kupitia television, redio na magazeti Watanzania waelimishwe umuhimu wa safari hizi za Rais wetu. Watu wakielimishwa huenda wataelewa na kujua kuwa anachokifanya Samia Suluhu kina manufaa kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…