Siku Rais Samia akigundua wanawake ndio wanaompinga zaidi, atawapigia magoti wanaume

Watanzania inafaa wachapwe viboko 6 kila asubuhi ili ku restore bongo zao!
 
Mie huyo [emoji23][emoji23][emoji23]
Anatafuta kukubalika na wanawake lakini wanawake hao hao tuna waume zetu anao wasimanga kila siku. [emoji2957]
Hahahahah hapa ndipo ugomvi ulipoanzia 😅😅😅 hawezi kutusimanga kina baba watoto
 
Kila mtu ana haki ya kuchokwa na kutamaniwa, kuchukiwa na kupendwa. Namashauri tu Rais SSH wala asihangaike kumeidhisha kila mtu kwa vile wanadamu hawaridhiki.

Hata Mitume walioleta ujumbe mwema kutoka kwa Mungu walidharauliwa, sembuse ya mwanadamu wa kawaida.
 
Ulikutana nao wapi wakakwambia kuwa wamemchoka?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kama bado ana portion ya fikra yakinifu anatakiwa mambo ya kijinsia kuwaachia mazuzu wa mitandaoni.

Kama rais kujikita kwenye mambo hayo ni fedheha kwa taasisi ya urais
Mambo ya usawa wa kijinsia sio uzuzu,ni mipango ya maendeleo,na ni lazima kwake kupambana kuleta usawa na haki za kijinsua,na haya maneno yenu,ndio hass sababu kuu ya yete kufanya hivyo

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Embu fafanua nyie Wanawake mlikaa lini na wapi mkaazimia kuwa Mhe Samia hafai, mmemchoka?
 
Kwa kweli hata mimi nimemchoka hata kama nilikuwa naangalia tv akitokeza kwenye tv nazima tv au nabadilisha chanel.
 
Kwanza ni uongo wa kijinga kabisa,kuuelezea kitofauti samia alisema nini,hakusema hata siku moja kuwa mwanaume ni sperm donor,umemchukua put of context,tuache uongo

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Nakuunga mikono na miguu yote

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Hakuna Rais alipendwa na wote akiwa madarakani hapa TZ. Wote wakiwa madarakani ni wabaya wakitoka tunaanza kuwapaka mafuta kwa mgongo wa chupa ili kumnanga aliyepo.

Aisee tunaweza kuwakumbuka waliotoka madarakani ila siyo yule aliyesema watu wataishi kama mashetani, hapana, mmh, hata kidogo,,
 
Anatumia nguvu sana kuaminisha uanawake....tunayo macho na tunaona mwanamke sasa sijui kwa nini analazimisha tuwaone wanawake...
Mie nimemchoka
Kwa hili waweza kuwa sahihi, anatakiwa kujikita kwenye kuongoza nchi na siyo mambo ya jinsia jinsia ya uanamke. Yeye ni Rais wa nchi na wala siyo Rais mwanamke wa nchi.
 
Ni kweli kabisa. Nimetembea maeneo ya vijijini mikoa miwili, wanawake hawamwelewi.
Mfano mkiwa mnaangalia habari then akatokea Samia, utasikia simpendi huyu mama!

Ukiwauliza ni kwa nini? majibu yao ni kuhusu swala la chanjo, hawakubaliani nalo.
Ila cha ajabu kabisa wengine tena wengi tu ukiwauliza ni kwanini humpendi? anakwambia basi tu simpendi, yaani hana sababu ya kutokumpenda.
 
kiongozi ukikaa ukamtafakari kiundani binadamu, utaishiwa kuchanganyikiwa. we nenda tu, fanya yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…