Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

Taifa la maiti hili , hutasikia majitu yanapaza sauti kuhusu ufisadi , udikteta na matumizi mabovu ya madaraka nchi hii na ukandamizaji wa haki za binadamu unaofanywa na genge la maharamia ccm ,ila linapokuja suala la upuuzi wa mipira uchwara sasa na taarifa za umbea na ushenzi mwingine usio na maana sasa,midomo kama chiriku .
Fools
 
Ewe Mwanasimba hii isikupite
#Tunakodisha nyumba ya kujificha baada ya mechi
#Bei nafuu sana
N.B: MASK NI BURE
 
Jamani nauza furaha, robo laki, nusu laki mbili na kilo moja ya furaha laki 3. Bei ni rahisi, mikoani tunatuma. Hata Zanzibar tunandege ndogo furaha inakufikia haraka sana.

#Berkane Bingwa πŸ†
#The Orange Boyz
🧑🧑🧑🧑🧑🧑🧑🧑
 
Santrooo sanaaaaa πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ§‘πŸ§‘πŸ•ΊπŸ•ΊπŸ•ΊπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ˜πŸ˜
namuambia smart aniazime wewe kwa leo nishangilie ushindi..πŸ€“
 
Ukipaza sauti wewe kuhusu ufisadi inatosha.
 
Tumekuachia wewe hayo mkuu uendelee nayo.

Usitufokee wala kutugombeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…