Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

Teh teh πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ wanajiandaa na supu ya Simba ..haaa haaaaa πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Vyura wataita press kwa kulibeba hili kombe nakwambia. Kesho parade.Hahaha.
 
Tujifunze pia kutoingiza siasa kwenye football, tungeshinda ingeonekana sote hatukuwa na mchango ila Mama! Football ibaki katika misingi yake, tusiwagawe mashabiki maana kila shabiki ana dini, kabila na chama chake cha siasa. Niliona mabango ya KOMBE LA MAMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…