Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Mkuu, nliongezea tu DONT TAKE IT TOOOO SERIOUS.

Ukraine leo hii akitangaza ushindi Tsh hawezi rudi nyumbani kwa familia yake kushereka kuwa ameshinda vita kupita JF, na Galip hatakuwa hajapoteza lolote. So tuchukulie simple lets chat.. hahaha

WATANZANIA HATUPO VITANI TUPO JAMII FORUM TUKIWATETA WALIO VITANI.

HAYA TUENDELEE KUWATETA, NIMESOMA SEHEMU PUTIN ALITOA MASHARTI KUHUSU BANDARI NA MOJA YA MASHARTI NI KUONDOLEWA VIKWAZO.

ITAKUWA ANAUMIA KWELI NA VIKWAZO ILA ANAJIZUIA KUPIGA YOWE, BORA APIGE MAPEMA MAANA SIKU LIKIMTOKA LITATOKA KWA SAUTI KUU.
 
Mzee vipi ukiangalia msimamo wa ligi yako kwa sasa nani anaongoza ligi na nani anaelekea kushuka daraja, kocha bado anasoma mchezo mpaka dakika ya ngapi?
 
ITAKUWA ANAUMIA KWELI NA VIKWAZO ILA ANAJIZUIA KUPIGA YOWE, BORA APIGE MAPEMA MAANA SIKU LIKIMTOKA LITATOKA KWA SAUTI KUU.
Waacha we, hii ni habari sio Vipaimara kama zile zingine au sio πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Tandahimba Shilling, ndio keshasema hivo πŸ˜‚, eee mwamba anapiga kelele mno na juzi tu kalala njaa amekosa msosi wa kula.
 
Mzee Agiza Balimi kubwa ya moto
 
Mzee vipi ukiangalia msimamo wa ligi yako kwa sasa nani anaongoza ligi na nani anaelekea kushuka daraja, kocha bado anasoma mchezo mpaka dakika ya ngapi?
Huu mfumo wa uchambuzi utakuwa poa sana. Utabadilisha tension na hisia za kizalendo kuwa za kiushindani wa mchezo. Naomba na mm nijoin.

Kwangu mm naona ni kipindi cha pili Putin inaongoza kwa 2 kwa 1 ila inashambulia kweli mipira inagonga mwamba na Ukraine na washirika wakifanya kaunta za kushtukiza. Kikosi cha Ukraine kina namba 9 mzuri sana USA ambaye saa yoyote ukikaa vibaya anakufunga hivyo Urusi japo kila saa wapo langoni kwa Ukraine lakini wanakuwa waoga waoga sababu wanamuhofia huyu namba 9 wao asije tetema meli ikazamaπŸ˜ƒ
 
Na wale mamruki alio wakodi kutoka Syria vp ?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Haha Yani we unachekesha sana kwani USA vita ipi aliingia bila kuwakodisha wananchi wamataifa mbali mbali, afu Mrusi MPAA mda huu hajawatumia wa Syria leteni dalili zenu kama mnazo, alicho SEMA Putin ikiwa mtu anaye taka kujiunga na Mrusi hatumkatazi Wala hatumlipi Kwa khiari yake huoni hapo kama alikuwa hataki msada, Lakini Mrusi kaonyesha Kila kenge wa NATo yupo kwenye vita hio + Israel wanamsaidia Ukraine.
 
Kijana! umeelezea vizuri hadi babu yako machozi yananitoka.
Unanikumbusha Magufuli na uzalendo wa taifa lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…