Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Bennett: Russia no longer wants to replace Zelensky or demilitarize Ukraine

Prime Minister Naftali Bennett said the advances are that the Russians are no longer trying to depose Ukrainian President Volodymyr Zelensky and fully demilitarize Ukraine, while Ukraine has backed down from trying to join NATO.

“We are trying to mediate together with our friends in the world, but there is a long way ahead,” he said.

“We positioned Israel in a way that allows us continuous communications with both sides that is honest and open and can bring achievements” in the mediation, Bennett stated
 

Russia anapigana na Dunia. Kweli Russia ni mtabe wa dunia. Nyie hata muungane kifilo kipo palepale
 
Mi ndio maana najibugi simple ... Ikibidi kautani kavijiweni siku inaenda.... Hapa natavuta usingizi.... Nshakula zangu michembe na mtindi... Mrusi wa Ishokelo
[emoji23][emoji23][emoji23]yani kuna watu humu wanachukulia haya mambo personal, we upo kama Mimi tu nawajibu simple bila lugha chafu au matusi halafu tunaendelea nao maana wakat mwingine inakua ni burudani.
 
Kwa hiyo unachotofautisha wewe ni Karne sio suala la kuvamia nchi jirani SI ndio ... Hii familia inayosimamiwa nawewe Ina matatizo sana.
Ndiyo. Wakati ni muhimu. Unataka kufukuza Wangoni Tanzania kwa sababu walivamia Songea katika karne ya 19? Kufukuza Waarabu katika Afrika Kaskazini kwa sababu walivamia karne ya 7 na 8?
Mwaka 1945 mataifa ya Dunia waliungana katika Umoja wa Mataifa na kuahidiana kwamba wanaanza kipindi kipya. (Ambayo ilikuwa lazima tangu kupatikana kwa silaha mpya zinazoweza kuangamiza ubinadamu wote mara ya kwanza katika historia - silaha za nyuklia)
Na kanuni na. 1 ni hiyo: Hatutabadilisha tena mipaka kwa njia ya mabavu na vita.
Hii ni kanuni ya kimsingi hasahasa kwa Afrika. Hakuna njia nyingine.
Ni kanuni ya sheria ya kimataifa iliyovunjwa sasa na Urusi tangu 2014 alipovamia Ukraine mara ya kwanza.
 
Watu wameshaufikia city center, hapo ni kumalizia masalia tu
 
Sheria za Kimataifa, zingeanza na hukumu kwa raisi Bush Jr, Tony Brair au Barack Obama.
Kama hao hawajaguswa, unafikiri kwa akili zako ataguswa Putin?
Jua nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi
 
Unafahamu huyo jamaa?!
Sasa unajuaje kama hajawahi kupigania vita?
Naona jamii forum inaenda kuwa Facebook [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
🇫🇷 France is not planning to transfer frozen assets of the Russian Central Bank to Ukraine, French Foreign Minister Jean-Yves Le Drian says.
 
Mariupol ,Ukraine ni mji mtakatifu wa wakatoliki Russia kawachokoza wakatoliki
Huo mji ni wa Mama Bikira Maria na ndie Mlinzi wa huo mji.

Putin Dini yake Orthodox anaua wakatoliki wa Mariupol watoto wa Mama Bikira Maria
Bikira maria aliye mzaa yesu alikuwa huko middle east baadae akakumbilia Misri na mumewe ikawaje Tena akawa Ulaya Mashariki mkuu.
Acha propaganda za uongo.
 

Misaada yote lakin bado anapigwa haha
 
Wakati ukristo ukifinyangwa na Warumi kwa kuingiza Miungu Yao na tamaduni zao hao Nato walikuwepo
 
Sheria za Kimataifa, zingeanza na hukumu kwa raisi Bush Jr, Tony Brair au Barack Obama.
Kama hao hawajaguswa, unafikiri kwa akili zako ataguswa Putin?
Jua nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi
Kama sheria ni sheria, haianzi kwa hukuma, inaanza kwa uchunguzi na mashtaki. Nakubali, wawili wa kwanza wanstahili. Hawakushambulia kwa kusudi la kubadilisha mipaka, lakini walianza vita. Na sababu zao si thabiti.
Obama - sijui. alianza? Hakumaliza, au nimesahau kitu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…