Awamu hii ndio imetuonyesha kwa mwanamke hapaswi kuwa Kiongozi, wametuangusha pakubwa Sana natumai hatutarudia Tena huu ujinga
 
hapa sio rwqnda sasa.
Yani uyu analeta Mambo ya rwanda na tz? Taifa tutalipeleka pabaya , Kama ambavyo vijana wa ccm ,Wana viongozi , au watalala nao vijana wengine mbele nao Wana viongozi nao watalala nao mbele,

SA ,kenya Rais wananangwa na wajiri wao na maisha yanaenda sie wa kwetu amekua Mungu,

Tulia jiuzulu Mara MOJA na sio Ombi nasema Kama Bwana anenavyo hapa ,ni lazima hustahili kaa kwenye kiti hicho ,
 
Unadhan anaweza kukata mkono unaomlisha????yule andunje alipojaribu kujipapatua kilichomkuta imebaki historia
 
Ndivyo ilivyo huwezi kukubali boss wako asemwe vibaya all in all mkubwa lazima aheshimiwe kwa gharama yoyote na sio utamaduni wetu sisi watanzania kumsema rais vibaya japo kuna wachache miongoni mwetu wanakengeuka na kujitoa ufahamu
 
Yupo sahihi ikiwa anawaambia Vijana wake wa CCM.
Ila hayuko sahihi Kama atakuwa anamaanisha vijana wa nchi nzima.

Kama ndio Katiba ya ccm ndivyo isemavyo yupo sahihi
Haijalishi anawaambia kwa msingi gani. Nani hasemwi nchi hii, kusema vibaya ndio nini kwa watu wenye low level ya understanding na tolerance anything short of kusifia ni kusema vibaya ni matusi. Hii inachochea vurugu na mbaya zaidi huyu mama ni speaker, ni msomi na lawyer kiwango cha PhD. Huu ni ushenzi wa hali ya juu. Mola tuokoe na wajinga kama hawa..
 
kama kweli katamka hayo nalaani kauli yake na Mungu adili na yeye kabla ya hao anaotaka yawakute
 
TULIA nyege sinamsumbua tupigane wenyewe Kwa wenyewe CCM wamekata pumzi hawanahoja tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…