Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Awamu hii ndio imetuonyesha kwa mwanamke hapaswi kuwa Kiongozi, wametuangusha pakubwa Sana natumai hatutarudia Tena huu ujinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
upo sahihi, asiwqingize watanzania kwenye janga kwa hofu yake, kama anataka kujizima data ajizime tuuNdio haikubaliki kabisa lakini Tulia anatafuta wa kufa nao, kuna kivuli kinamtisha halafu anaokiogopa sana.. Fear of the unknownView attachment 2376163
huyo ndo mbowe??
Yani uyu analeta Mambo ya rwanda na tz? Taifa tutalipeleka pabaya , Kama ambavyo vijana wa ccm ,Wana viongozi , au watalala nao vijana wengine mbele nao Wana viongozi nao watalala nao mbele,hapa sio rwqnda sasa.
Mimi najua rais hajawa Mungu. Akidemka tumseme bila kuogopa.Mimi najua rais hajawa mungu kwamba asisemwe! Akiifanya vizuri tutampongeza ila akidemka tutamsema bila kuchoka Wala kuogopa kauli ya tulia!!
Dk tulia anasimamia mhimili mkubwa unao Tunga Sheria na kuisimamia serikali!! Kasema watakaomsema rais .
Washughulikiwe!! Mimi najua rais hajawa mungu kwamba asisemwe! Akiifanya vizuri tutampongeza ila akidemka tutamsema bila kuchoka Wala kuogopa kauli ya tulia!! Kama tulia amefikia Mahali pa kutaka rais asisemwe huku uraiani vipi bungeni nako wataruhusiwa kumsema rais akikosea? Rais sio mungu na kamwe hatakuwa mungu !! Kwa nini tulia anamuwekea kinga rais ! Kuna nini? Tutamsema ,tutamsema na tutamsema tena!!! Tulia anaona watanzania wote ni sawa na familia yake !! Asali imemlewesha anzeni kuwashughulikia !! Watanzania sio waoga ila ni wavumilivu!
Haijalishi anawaambia kwa msingi gani. Nani hasemwi nchi hii, kusema vibaya ndio nini kwa watu wenye low level ya understanding na tolerance anything short of kusifia ni kusema vibaya ni matusi. Hii inachochea vurugu na mbaya zaidi huyu mama ni speaker, ni msomi na lawyer kiwango cha PhD. Huu ni ushenzi wa hali ya juu. Mola tuokoe na wajinga kama hawa..Yupo sahihi ikiwa anawaambia Vijana wake wa CCM.
Ila hayuko sahihi Kama atakuwa anamaanisha vijana wa nchi nzima.
Kama ndio Katiba ya ccm ndivyo isemavyo yupo sahihi
kama kweli katamka hayo nalaani kauli yake na Mungu adili na yeye kabla ya hao anaotaka yawakutespeaker wa bunge la jamhuri ya Tanzania Dr Tulia Akson, leo tarehe 3. 10. 2022 alipokuwa anaongea katika kikao na vijana wa CCM amewasisitiza kwamba ikiwa kuna mtu yeyote atakaye msema raisi Samia Suluh vibaya basi wana wajibu wa kudeal naye sambamba.
speaker tulia kauli hii ni ya uchochezi na kauli kama za kwako yalipelekea mauaji ya kimbari, hivyo unachokitafuta utakipata
Nimeshangaa Mtu mnaemwita Dr amelopoka maneno ya kiwango cha chini namna ile?thuuup!!
kichwa chako ni kibovuNdivyo ilivyo huwezi kukubali boss wako asemwe vibaya all in all mkubwa lazima aheshimiwe kwa gharama yoyote na sio utamaduni wetu sisi watanzania kumsema rais vibaya japo kuna wachache miongoni mwetu wanakengeuka na kujitoa ufahamu