Swali: Dunia bila Mwanaume je nani angemlinda Mwanamke?

Una uelewa mdogo sana. Ngoja nikupe somo. Ubongo wa mwanaume na mwanaumke umetofautiana. Ubongo wa mwanaume ni mkubwa zaidi na sehemu ambayo inahusika na uchakataji taarifa inayotwa parietal lobule(google usome vizuri maana najua haujui). Kwenye ubongo wa mwanaume hili eneo ni kubwa zaidi ya ubongo wa mwanamke.

Pitia fields ngumu kwenye nyanja za sayansi na teknolojia utaona idadi kubwa ni wanaume. Usifikiri hiyo ni favor au imetokea by coincidence. Nature ndio imeamua.

Kibaokojia na kijamii jinsia zote mbili zinahitajiana. Hakuna jinsia ya kusema ina umujimu zaid, lakini ukiongelea survive of mankind dunia inamujitaji zaidi mwanaume
 
Mwanamke kahusika ama hajahusika? Mind you haujui/sijui kahusika kwa % ngapi
Ngoja nikwambie Ndugu yangu Scientific experiment au experiment yoyote kama una expert mzuri wa kukuongoza na Lab makini uta_observe vitu vingi sana.

Sasa upande wa Marie Curie tayari mumewe alishakuwa expert Kwenye field ya Mionzi(Radioactivity) na ni gwiji wa experiment na alikuwa na Lab Makini Sasa kwa Nini Mkewe asije kugundua hiki au kile.

Ambavyo inawezekana hata instructions na procedures zote ali_develop Bwana Piere Kisha Marie akaachiwa afanye alafu akaandikwa Amegundua.

Swali muhimu ni kwamba bila Msaada Ambao tunahisi alipewa na Mumewe , Marie angeweza kugundua hayo anayonasibishwa nayo kwamba aligundua????
 


Mkuu, based on ulichokiandika(specifically kwenye red) tuishie tu hapa

Kwasababu hata mimi kwa upande wangu naweza kusema inawezekana procedures zote alifanya mwanamke na mume wake akafanya kama kumu-assist tu
 
Mkuu, based on ulichokiandika(specifically kwenye red) tuishie tu hapa

Kwasababu hata mimi kwa upande wangu naweza kusema inawezekana procedures zote alifanya mwanamke na mume wake akafanya kama kumu-assist tu
Mimi nasema hivyo kwa sababu Piere ametangulia Kwenye hiyo field na hata Lab ilikuwa yake.

Hizi ni supportive reasons Zangu.
Jee hazina mashiko??

Na kwanini nimesema 'Nahisi' ni kwa sababu Sina hakika kuhusu ni kwa asilimia ngapi ila kuhusu msaada ni obvious alipewa kwa sababu ni mentor na ni expert wake.
 
Mtu akikuuliza swali rahisi kwanini wewe hujagundua chochote na nimwanaume kwenye muktadha huo utaweza kumjibu? Sisi kugundua vitu sio hoja ya kuonesha kuwepo kwetu kwasababu sio kila mwanaume anaweza kugundua na kutokugundua haipupunguzii uanaume wako na kugundua sio sifa ya kuwa wewe ni mwanaume. Hoja ya msingi ipo hapo. What if kama sisi tusingekuwepo wao wangegundua? Anyway hii sio hoja ya msingi sana lakini hoja ya msingi ni kwamba ili watu waendelee kuwepo duniani ni lazima sisi wanaume tuwepo na nilazima wanawake wawepo .
 
Nadhani tunajadili mada mbili tofauti kwa hoja zile zile, haileti mantiki.

Uwe na wakati mwema Mkubwa.
 
Ngoja nikuulize swali bwana mdogo kwanini kuna wanawawake wanaokuzidi ugunduzi kama hao waliotajwa hapo ilihali wewe ni mwanaume na unasehemu ya ubongo kubwa? Kwanini wewe hujagundua kitu?

2. Hoja yako yapili kuwa field ngumu za sayansi na teknolojia sijui unamaanisha nini ? Kama nimekuelewa mfano kwenye masomo ya sayansi kwanini unakuta kuna wanawake wanasoma hayo masomo na wanafaulu hapo hapo utakuta kuna mwanaume ameyashindwa hayo masomo anasoma masomo ya sanaa? Hapo utagundua jinsia peke yake haitoshi kukubeba bali uwezo wako binafsi. Anyway kwanini wanafunzi wengi wanaohitimu kozi ya ualimu wa sana letsay chuo cha Dodoma utakuta wengi ni wanaume kwanini tusiende kusoma engineer? kwaufupi sidhani kama kuna somo ambalo linabagua jinsia ya mtu kwenye kuelewa ni maamuzi tu na utamaduni wako wewe mwenyewe.

Tuje kwenye hoja ya msingi nikweli kuwa dunia haiwezekani kama mwanaume na mwanamke hawapo vizazi vitaendeleaje?
 
kunywa savana tatizo linaanza pale mwanamke anakunywa tingisha haya ndo madhara na hisia zisizo na uhalisia
 
Mkuu, based on ulichokiandika(specifically kwenye red) tuishie tu hapa

Kwasababu hata mimi kwa upande wangu naweza kusema inawezekana procedures zote alifanya mwanamke na mume wake akafanya kama kumu-assist tu
Inawezekana,
Tunahisi,


Ndio yale yale mtu analeta habari za Unaambiwa.
 
Nafikiri uwezo wako wa kuelewa ni mdogo sana. Kwa kukusaidia ni kwamba. Mwanamke na mwanaume hapa wanatumika kama wawakilishi wa jinsia zao. Hatufanyi ulinganisho wa mmoja mmoja. Kwaiyo unatakiwa kujua akitajwa mwanaume wanatajwa wanaumw wote. Akitajwa mwanamke wanatajwa wanawake wote.

Katika kesi moja moja kuna uwezekano wa mwanamke kum-outperfom mwanaume mfano leo hii unilinganishe kiuchumi mimi na regina mengi lazima awe amenizidi kwa sababu ya familia tulizotoka.

Ninachomaanisha ukiwaweka wanaume na wanawake katika situation ambayo wapo sawa kwenye factors zote. Kiwastani wanaume watawa-outperfom wanawake
 
Bwana mdogo ni situation zipi ambazo zipo sawa na factor zote ambazo unaweza kutumia kumlinganisha mwanamke na mwanaume? Unafikiri wewe ni maskini kutokana na familia unayotoka? Mwanaume ni mwakilishi wa mwanaume mwingine kibiolojia tu na mwanamke ni hivyo hivyo na sii vinginevyo nje ya bilojia hakuna mwanaume utasema ni mwakilishi wako. Kama wewe ni bongo lala mwenzako akawa mgunduzi huwezi kujitapa kuwa amekuwa mwakilishi wa jinsia yako otherwise uje na andiko linaloonesha fedha inabagua jinsia au maarifa yanabagua jinsia.
 
Una miaka mingapi hujatongozwa, wewe inavoonekana una sura mbovu kuliko wanaume wote sura yako mbovu umekomaa, huna matako Wala shepu, jike dume, hutongozwi umeamua kuwa tom boy,

Kumbe unawakasirikia wanaume sababu hawakutombi una sura mbovu na umbile la kiume
 
Kazi kweli kweli
Majadiliano ya wote wawili kuhisi na kuwezekana ni magumu

Hatuwezi kuelewana kwasababu yeye anahisi na mimi naruhusiwa kuhisi navyoweza

Wamatumbi sisi kwenye 1 na 2 😃
Lakini mwenzako hisia zake kazitolea supportive argument. Huyo mwanasayansi uliemtaja mumewe alikua ni expert kwenye hiyo field far miles ukilinganisha na mkewe. Huyo mwanamama alitumia labaratory ya mumewe. Kwa ambao tumeshafanya experiments maabara tunajua lazima uwe na supervisor. In fact katumia tu busara kusema anahisi. Ni gekua mimi ningenyoosha moja kwa moja kwa kusema mumewe ndie akimpa miongozo yote.

Kwa upande wako wewe hizo hisia zako haujazitolea supportive argument yoyote. Bila shaka ni kwa sababu unajua ukielezea kwa undani utaacha loopholes za kukukamata wewe mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…