Tajiri Mapesa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2020
- 707
- 751
Dada, ila acha kuwatisha wenzako, mbona wewe ni mzima? Basi na wenzako watakua wazima kama weweR.I.P Ile party itaondoka na wengi sana, tena na hivi walilishana keki kwa mkono, na walivyokuwa wamerundikana. Mungu tenda miujiza.
pale hakuna mtu anae jitambua hata mmoja wala usiangaike naoHivi kweli kuna msiba hapa nipo naangalia TBC ni burudani ya taarabu kwa kwenda mbele.., au TBC yangu ni tofauti na nyingine ? au... au... au..... au this is yesterdays news tayari tunaganga yajayo ?
Nao siyo wao, wanaambiwa kaseme hili. Sasa utafanyaje, huwezi kuacha kazi na kulima huwezi.TBC are agent of spreading lies and hiding credible information, what goes around comes around, they are facing the pinch. Pole sana kwao lakini. Tusifiche taarifa muhimu vifo vitatuumbua
inasemekana hata marehemu marin hassan nae walificha
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu nachoelewa Mimi, watu si kwamba wanafuraha na vifo hivi. Watu wanaona Serikali inachuuza maisha yao. Wakati wengine wanachukua hatua stahiki, sisi tulijimwambafy. Homa ikatinga ndani, imetinga ndani bado tunaficha Taarifa, kunawa mikono kila sehemu saizi, Hadi huku vijijini Kuna vyakunawia,Watanzania kuweni waungwana japo hata kidogo. Familia zipo ktk uchungu wa kuondokewa Na mpendwa wao nyinyi kazi yenu kupika Majungu
Fitina Na upotoshaji.
Hivi unge kuwa wewe leo hii umeifiwa Na baba yako au dada yako au MJOMBA wako umgekuwa hapa mtandaoni unieneza uzushi.,..,?
Pole Kwa familia Na Kwa wana tbc Kwa kumpoteza mwenzeno. Apumzike Kwa amani
Mkuu sikufich me nimejifungia ndani na naenda nje iikiwa inaulazima ila brother ivi unajua impact za maneno yake kwa jamii ambayo haijaelimika na ndio sehemu kubwa ya Watanzania ? sijasema namwonea wivu ? kwanini anawaambia raia wafanye vitu ambavyo yeye vimemshinda ? anasikilizia upepo ? jamaangu haya mambo sio ya kutania hata kidogo me nawashangaa sana wazee, nenda nje if its necessary otherwise kaa home. Tatizo lenu kubwa ni ubinafsi , na ubaya ni kwamba corona inaturudia wenyewe kama wote tusipohimizana kutulia home ingekuwa atakepata kapata hampi mwenzie kama ilivyo ukimwi man, tungenyamaza ila kwa nature ya ugonjwa ulivyo majitu kama ninyi mtatuangamiza...Boris wa UK alileta dharau ivyo hivyo, wazir wa afya wa israel nae ivyo ivyo saivi wanaimba haleluyakama unaona anafaidi kukimbilia chato,nawewe si una gheto lako kwako mkuu???
watanzania tunajua sana hili nalo ni tatizo.rais ni mtu mwenye ubinaadam sana anajua anachokiongea.kama unaona ameongea pumba simply,jifungie ndani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Una hakika gani kua September utakua hai?Nahisiilr ya TBC aridhio....kamasijakosea nimeona walijimwagaa sanaa kasehemu kadogoo doh kama kuna anaeoa MIEZI MITATU ijayo tusameheane JAMAN TUKUTANE sept
Lkn hatua kali na madhubuti zimetumika kuudhibiti ukilinganisha nna nyumbani.Namaanisha na wao hawako salama kwa sababu kati ya hao kuna walioambukizwa pale pale, hawakusafiri
Nimekuelewa nduguNao siyo wao, wanaambiwa kaseme hili. Sasa utafanyaje, huwezi kuacha kazi na kulima huwezi.
Biashara nayo hivyo Tena. Kuna Mtu anaangamiza hili taifa.
Si umeona hata kutoa Taarifa wamesema watakuwa wao tu, Mwingine ajaribu aone
Sent using Jamii Forums mobile app
rais amezungumza ukweli ulio wazi.Mkuu sikufich me nimejifungia ndani na naenda nje iikiwa inaulazima ila brother ivi unajua impact za maneno yake kwa jamii ambayo haijaelimika na ndio sehemu kubwa ya Watanzania ? sijasema namwonea wivu ? kwanini anawaambia raia wafanye vitu ambavyo yeye vimemshinda ? anasikilizia upepo ? jamaangu haya mambo sio ya kutania hata kidogo me nawashangaa sana wazee, nenda nje if its necessary otherwise kaa home. Tatizo lenu kubwa ni ubinafsi , na ubaya ni kwamba corona inaturudia wenyewe kama wote tusipohimizana kutulia home ingekuwa atakepata kapata hampi mwenzie kama ilivyo ukimwi man, tungenyamaza ila kwa nature ya ugonjwa ulivyo majitu kama ninyi mtatuangamiza...Boris wa UK alileta dharau ivyo hivyo, wazir wa afya wa israel nae ivyo ivyo saivi wanaimba haleluya
Mimi sikuepo. Mimi na TBC wapi na wapi ?Dada, ila acha kuwatisha wenzako, mbona wewe ni mzima? Basi na wenzako watakua wazima kama wewe
Kwa hiyo zile perekeche anazopigaga kwenye 'Maiki' zinakuwaga ni 'fix' eeeh?rais amezungumza ukweli ulio wazi.
kama watz wote wangekuwa na maisha kama ya kwake au ya kwako,lockdown ingeshatangazwa.
lakini anatujua vyema,na anaijua nchi yake ina hali gani kiuchumi,hawezi kuwalipa msipofanya kazi,hawezi kuwapa chakula msipotafuta wenyewe.kwanini afanye kitu kije kionekane hakina maana!!!!
anasema watu waendelee na shughuli zao,lakini kwa tahadhali kubwa,kunawa mikono na kuzingatia usafi.
alipo nikwanza aliposema mikusanyiko ya ibada iendelee,hii kauli haikiwa ya kitaalamu bali imekaa kiimani zaidi,KOSA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani apa niko nachek TBC 1 ni mwendo wa taarabu tu.TBC acheni ubaguzi . Katika msiba wa Marine Hassan tulishuhudia maombolezo yake sambamba na profile yake lakini kwa Lutengano hakuna kanakwamba hakuna msiba wowote uliotokea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kule ni hatari zaidi maana mpo confined ndani. Ila sehemu nyingine ni supermarket. Nikifika kule natumia sanitizer kudisinfect shopping cart/Trolley. Wasiwasi wangu ni wale wanaoshika vitu anarudisha,hapo ndo namwachia Mungu. Ila yote yaliyo ndani ya uwezo wangu kujikinga nayafanya. Iam doing my best,God will do the rest.
Umeambiwa mazishi yamehudhuriwa na wanafamilia tu yaani mke na wanawe....uwe unaelewa bwashee!TBC acheni ubaguzi . Katika msiba wa Marine Hassan tulishuhudia maombolezo yake sambamba na profile yake lakini kwa Lutengano hakuna kanakwamba hakuna msiba wowote uliotokea.
Sent using Jamii Forums mobile app