Tony Blair kaja kumwona Mama Samia? Nina Masikitiko!

Kama sijakosea alikuwa anaitwa Hans Blinks
Yes, kitu kama hicho. Kipindi hicho nilikuwa darasa la tano kuna mmarekani mmoja alikuwa mwalimu huku tz akawa ananiletea majarida ya huko mbelez yenye hilo vuguvugu.
 

Huyo ni mshirika kindaki ndaki wa bwana PaKa.

Hii anakuja kwa mara nyingine hapa kwetu.

Yetu macho na masikio muda utasema.
 
Mkuu hii kitu iko very personal
 
Duh...!. Hili ni bandiko la fitna!.
P
Hakuna fitna hapo Pascal....Tony Blaur is a murderer ..huo ndio ukweli...Hata sikupenda kabisa mtu huyu, ambaye ni beberu mwandamizi kuja TZ...uki-google na bila Shaka umefanya hivyo bila Shaka utajua Tony Blair na makampuni yake...
Anyway sisi wengine hatuna ushawishi kwa serikali yetu...ngoja aje huyo beberu na afanye walichoamua afanye..
 
September 11 ilikuwa miaka ya 2000 na Vita USA vs Iraki ni mwanzoni mwa miaka ya 90.

Na baada ya September 11 USA walienda msaka Osama bin Laden.

Labda kumbukumbu zangu ndo haziko sawa.
 
Huyu ni kati ya Economic Hitmen wanaijificha kwenye kichaka cha diplomasia.

Wanatumika kuwalainisha viongozi wetu kama Hangaya na wengine kuruhusu mikataba ya kinyonyaji kwa njia mbali mbali.
Mawazo yako ni ya kizamani. Nasikia sauti ya polepole.
 
Busara ilikuwa kuelewa msingi wa mada yenyewe.
Blair ni nuksi, kila anachoshika ni kawama, ana mikono iliyojaa damu za watu waliouwawa kwa hila huko Iraq.
Mbona na hapa kwetu tulikuwa nao/tunao viongozi waliojaa damu tena za watanzania wenzetu? Mbona hamuanzi na hao mnamshupalia mgeni huyu? Huo ni unafiki.
 
Mawazo yako ni ya kijima kabisa. Nasikia sauti ya polepole.

Nyerere alikuwa na mialiko ya nchi za ulaya na marekani ambayo hakuweza hata kuimaliza. Je,alikuwa hajitambui,au ulikuwa hujazaliwa?
 
Tony Blair ni mzee wa fursa

Alikuwa mkatoliki akajua kuwa hawezi upata uwaziri mkuu akahamia anglikana akawa waziri mkuu.

Alipostaafu tu akarudi kwenye ukatoliki

By the way he is a f.msn of highest order.

He is at mission
 
Mbona na hapa kwetu tulikuwa nao/tunao viongozi waliojaa damu tena za watanzania wenzetu? Mbona hamuanzi na hao mnamshupalia mgeni huyu? Huo ni unafiki.
Taratibu mkuu, hata tulipofika leo kukubali kuwa tulikuwa na viongozi wenye mikono ya damu ni hatua moja mbele.
Wanajulikana, wataimbwa tu.
 
Hakuna heri yoyote mkuu. Tony ni economic hitman. Watu wa aina yake wanafanya kazi kubwa sana kuhakikisha superpowers ziendelee kunufaika na nchi za huku kwetu kuendelea kudidimia kwenye mikopo na madeni kila uchao.
Mawazo yako ni ya kijima mno!
 
Naona makengezaaaa tu 😂 Au ni mm tu jaman??
 
DUH ...NENO LA UKWELI SIYO ZURI
hi nchi hii ....
Anyway ngoja kwanza nitafute cha kufeed tumbo ..
 
Hapa ndio nilikuwa namkubali Magufuli, huyu mkoloni hakuleta pua yake kabisa wakati akiwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…