Trump: Marekani imevishambulia vinu vya nyuklia vya Iran

Kwa nini baadhi ya nchi tu ndio wasiruhusiwe kuwa nazo? Kutounga mkono au kuwa kinyume na siasa za marekani ndio kuwa adui na kutoruhusiwa kuzimiliki. Hii ni sawa na siasa za Tanzania kati ya watawala na wapinzani au ni sawa na tajiri siku zote hataki masikini nae apate.
 
Israel hapiganagi lonely, ni kwa hisani ya US
 
Sijaropoka, ila nimesema kitu ambacho hukutaka kusikia.

Pamoja na yote fahamu USA nae anaangalia masilahi yake.

N kweli USA hua anazingua kwa kuchochea vita kwa wengine, hilo sikupingi mkuu, ila kaa ukijua USA ndie ana-balance mambo.
Aliye balance mambo ni China.
Kama China asingekuwepo basi huwenda Asian Pacific vita ingezuka pia .
 
Hakuna kichaa pale, kinacho ondoa ukichaa. Ni kwamba walicho mtuhumu sio Cha kweli. Wame mpaka mavi ili kumsafisha kwa moto🤣🤣🤣
Kwamba hana nuclear, Mbona mhusika hajawahi kupinga
 
Iran aliondoa kila kitu kwenye Nuclear ya Fordow nuclear facilit na karibu zote Nuclear zake hivyo USA hakuna alicho gain zaid ya kudestroy sehemu ndogo ya
Fordow nuclear
Kama aliondoa kila kitu, hiyo sehemu ndogo iliharibiwa ni sehemu ndogo ya nini? USA katest mitambo tu, katoa muda Iran kurudi mezani, la sivyo litamkuta jambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…