Tundu Lissu aingia Ngorongoro na kupokelewa kwa kishindo

Tundu Lissu aingia Ngorongoro na kupokelewa kwa kishindo

Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , Makamu mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amewasili Ngorongoro ambako anatarajiwa kuwasha moto wa Ukombozi na kukata minyororo ya Utumwa waliyofungwa Wamasai.

View attachment 2743175

Nakala : Maulid Kitenge

Angalizo : Usiondoke JF kuna mambo mazito mno yanakuja .
Mambo yanavyokwenda muda ni mwali,ccm kaeni na Lissu mezani mkubaline jinsi ya kumkabidhi nchi,mazunguzo yaanze malamoja, mpe mashariti magumu ya kutowashitaki kwa matumizi mabaya ya madaraka, msione aibu nijambo la kawaida mtabaki na heshima msigoje dakika za lala salama,anzama mapema chukueni mkataba wenu utawasaidia huko mbeleni,mazungumzo yasiwe siri sisi raia tutakuwa mashahidi mbinu na wapa,Lissu ni Mandela wa Tanganyika.
 
Itafaa kumuita hayo majina iwapo kutakuwa na uthibitisho toka NIDA, Kinyume na hapo ni ujinga kushiriki hilo jina.
Tuko katika hatua za mwisho mwisho.NIDA siku hizi ni siku tatu unapata cheti.
 
Jana mlikuja na taarifa kuwa amezuiwa kufanya mkutano sasa kulikoni tena leo kapenya penya vp hata afanye mkutano😵😵😵😵
 
King of Kings ni Cheo Cha Mungu, tusianze kufuru.
Wewe unapotosha mkuu 'Rabbon'.
Yeye kaandika "Kings of Kings', wewe ukaibadili na kuwa "King of Kings"!
Jamaa hajakufuru chochote.
 
NIDA siku hizi ni siku tatu unapata cheti.
Ni NIDA hii hii ya Samia?

Ni mwaka wa 3 huu tangu nijisajiri na sijapata kitambulisho changu, je nyie mmetoa rushwa kupata hicho kitambulisho kwa siku 3 tu ?
 
Endeleeni kukufuru maana machadema akili zenu huwa zinawaruka mpaka mnapitiliza mipaka ya kibinadamu😄😄
Tumeshamvika Shuka na kumkabidhi RUNGU.

Kwa Mila zetu Mama hapewi RUNGU na akipewa ruksa ya kuzungumza atatakiwa kutazama chini tu.Kamwe hatakiwi kunyanyua uso Mbele ya LAIGWANANI MKUU.
 
Back
Top Bottom