GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mkuu hii ndiyo tofauti yako na praise team walio wengi humu jamvini......penye ukweli huwa unanyoosha
Raisi akitikiswa na akatikisika nchi nzima inatikisika ndio katikiswa sasa na bado
Hapambani na mkuu wa nchi, anapambana nawagombea. Kama Mkuu wa nchi hataki mapambano ya uchaguzi mkuu asigombee, akae pembeni, wanaoweza mapambano wachukue fomu.Lissu kazidi upumbavu,hivi vitu vidogo ka hivyo ni vya kuanza kuita press na kuweka charges...
Hiyo energy angesave kwaajili ya kampeni ingekua poa...
Sasa hajaenda mahakaman kisa exhaustion then anaonekana energetic akipambana na Mkuu wa nchi....akili ya huyu jamaa ni ndogo asee..
Ama anatafta njia akatwe apate sababu.
Lissu anazingua,Wakili msomi lakini kichwani zeho!
Anauwa Chama chenu lakini, Magufuli ni Raisi wa JMTZ na mkuu wa vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama, kuanzisha Vita dhidi ya Raisi wa JMTZ ni ujuha, ni watu low IQ ndio wanaweza kufanya hivi, ...
Angekuwa na uzoefu nn kilimshinda kwenda kutafuta wadhaminiAsiye na uzoefu wakujaza hizo fomu ndiye atakayekosea, siyo JPM. Rais JPM ana uzoefu wa kujaza hizo fomu na ni makini, hana papara wala wasiwasi kama Lissu. Jana aliposubilishwa pale Ndejengwa, NEC, akadhani ndio kakwama na kuanza kulalamika.
JiweLipumba nini au Jiwe?
Nchi ina miaka 59 haina maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, badala ya maendeleo pesa zote za viwanda CCM wamezielekeza kwenye kudidimiza demokrasia kuua upinzani kurejesha mfumo wa chama kimoja.Ila saa Lissu ndio atainyoosha Nhi vizuri
Watu wakisema huyu mtu anahitaji msaada wa kitaalamu ajatulia mnaona wanamnanga.
Kadri siku zinavyoenda ndio anazidi kuonekana kituko kwenye jamii yeye kila kitu anafanya tofauti na wenzake.
Lissu is not fit for office
Kwahiyo wale wasifu mapambio ,waunga juhudi umati wote ule hamuna anae muweza lisu kweli nimeamini ccm milioni 6 ni sawa na ubavu wa kushoto wa lisuSasa hapa CCM itabidi wamuite Mtemi Chenge. Maana la sivyo wale vilaza wakiongonzwa na mwenyekiti wao watachanganyikiwa. Chenge pekee ndo kiboko ya Lissu.
Usipotoshe mlamu, Magufuli ni mgombea tu kwa sasa.
Kifo chake kinachukua miaka mingapi?maana huu utabiri uchwara ukianzia kwa Wassira.Lkn mwishowe chadema inakufa!
Wewe wasemaLkn mwishowe chadema inakufa!
Ni ngumu kumahinda bwana yule kwa pingamizi, patachimbikaKama vile majaaliwa alivo wachiwa
Nyumbu ni CCM hata mbugani nyumbu ni wengi kama CCM walivyokuwa wengi lakini vilaza waliokariri zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM mpaka kujitoa fahamu zoteNyumbu mna kazi sana.
Hivi kwa akili zenu za kinyumbu kwamba Mgombea wa CCM ataenguliwa!
Kwa kweli Lofa ni Lofa tu (RIP Mkapa)