Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

Tayari wako ndani
 
..amemuwekea pingamizi magufuli mgombea uraisi kupitia ccm.

..hajamuwekea pingamizi magufuli raisi wa jmtz, na wala hajamzuia kutekeleza majukumu yake ya kikatiba.
 
Mlamu acha papara, pingamizi inakuwa dhidi ya mgombea na si Rais.... jikite hapo tu kujenga hoja zako.
 
..amemuwekea pingamizi magufuli mgombea uraisi kupitia ccm.

..hajamuwekea pingamizi magufuli raisi wa jmtz, na wala hajamzuia kutekeleza majukumu yake ya kikatiba.

Ni mtu low IQ tu anayeweza kufanya hivyo kwenye nchi yenye Katiba kama yetu huku akitegemea kushinda uchaguzi, ...
 
Ni ngumu kumahinda bwana yule kwa pingamizi, patachimbika
CCM wamenunua mapingamizi lakini chadema wanaweka pingamizi za ukweli ingawa jaji kaijage ataipendelea CCM kulinda mshahara na kiinua mgongo chake
 
Sky, nadhani angelipotezea, likapita wakakutana kwenye uwanja. Hawawezi kumkata hivyo unapotezea
Lisu angekuwa na akili angetumia huo muda kuwasaidia wagombea wake ambao majimbo yao ccm imepita bila kupingwa huku majimboni kuliko kupoteza muda kutafuta kitu ambacho hakita mpa ushindi
 
Pole kwa kero mkuu. Najua humpendi kabisa na sasa karudi na hajakamatwa na anamwekea pingamizi raisi unayempenda sana.
 
Mlamu acha papara, pingamizi inakuwa dhidi ya mgombea na si Rais.... jikite hapo tu kujenga hoja zako.

Mgombea Uraisi ni Raisi wa JMTZ, hashitakiwi wala kuhukumiwa popote pale ndani ya JMTZ, siyo Mwanasheria lkn simple logic inatosha!
 
Watu wakisema huyu mtu anahitaji msaada wa kitaalamu ajatulia mnaona wanamnanga.

Kadri siku zinavyoenda ndio anazidi kuonekana kituko kwenye jamii yeye kila kitu anafanya tofauti na wenzake.

Lissu is not fit for office
You are not fit for the thread [emoji15]
 
Nchi ina miaka 59 haina maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, badala ya maendeleo pesa zote za viwanda CCM wamezielekeza kwenye kudidimiza demokrasia kuua upinzani kurejesha mfumo wa chama kimoja.
Nakwambia Lissu atainyoosha kama rula! Huyu jamaa yuko strict and straight
 
Mgombea Uraisi ni Raisi wa JMTZ, hashitakiwi wala kuhukumiwa popote pale ndani ya JMTZ, siyo Mwanasheria lkn simple logic inatosha!
Jifariji tu, naona ushaanza kupoozaa utadhani umefumaniwa na mke wa Mjumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…