issa yurry
JF-Expert Member
- Apr 20, 2014
- 626
- 818
Hao ni wabunge wenu wa viti maalum siyo walio chaguliwa na wananchiTukiwaambia chadema ni wajinga wanatokwa povu!
Wenzenu huku tayari wana wabunge 22 nyie bado mnahangaika kukagua form?
Mambo mengine ni ujuaji ambao hauna maana.
Kwahiyo anategemea kuna mtu ataenguliwa ili yeye abaki peke yake?
Kwahiyo wote walitafuta wqdhamini kwa kupayuka kama Lisu?Angekuwa na uzoefu nn kilimshinda kwenda kutafuta wadhamini
Wewe ndio hujitambui, wala huelewi sheria. Zawadi yako hii => 🖕 🖕 🖕Raisi wa JMTZ ni raisi mpaka pale Raisi mpya atakapoapishwa, hiyo ni Katiba ya JMTZ, huyo low IQ wenu anawadanganya na kuwapotosha, kwangu mimi ni Maajabu hata mnaweza ongozwa na kumfwata Binadamu kama huyo, hata simple logic hana, siajabu hata yeye ni kama wewe anaamini kweli kabisa kwamba Magufuli siyo Raisi wa JMTZ kwa sasa!
Mapenzi kwa chadema kwa sasa hayana maana yoyote. Lissu ndo changamoto.Haiisaidii chadema lkn kama ni kweli unaipenda chadema!
ww wa wapi we, hakuna aliye juu ya sheria. Ivorycost raisi aliye kwenye dola kazuiliwa kushiriki kwenye uchaguzi na mahakama kwa kuvunja sheria, hapa bongo watawala wanakanyaga sheria tuRaisi wa JMTZ ni raisi mpaka pale Raisi mpya atakapoapishwa, hiyo ni Katiba ya JMTZ, huyo low IQ wenu anawadanganya na kuwapotosha, kwangu mimi ni Maajabu hata mnaweza ongozwa na kumfwata Binadamu kama huyo, hata simple logic hana, siajabu hata yeye ni kama wewe anaamini kweli kabisa kwamba Magufuli siyo Raisi wa JMTZ kwa sasa!
Ni mtu low IQ tu anayeweza kufanya hivyo kwenye nchi yenye Katiba kama yetu huku akitegemea kushinda uchaguzi, ...
Kwahiyo chadema na nyie mtakuwa na wabunge wenu wa kuchaguliwa kwenye hayo majimboHao ni wabunge wenu wa viti maalum siyo walio chaguliwa na wananchi
Kidumu kidumu na kikaendelee kudumu kaburiniBaada ya kushindikana kupatikana kwa kiki ya kukamatwa na mahakama pamoja na kiki ya kuwekewa pingamizi au kufutwa kugombea uraisi, sasa ameona akatimue vumbi kwenye jumba la uchaguzi. Watanzania tuwe makini na watu wanaoshabikia hizi vumbi za Lissu, hawaitakii mema nchi yetu. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
kwahyo zawadi yake ni dole la kati[emoji3][emoji3][emoji3]Wewe ndio hujitambui, wala huelewi sheria. Zawadi yako hii => [emoji867] [emoji867] [emoji867]
Kuna uadui mkubwa zaidi ya kupigwa risasi hadharani?Politics is about consolidating friends not enemies
You gather friends who will be with you with their supporters to give you votes
Wakishinda pingamizi hao aliowakea pingamizi watakuwa maadui zake wao na supporters wao hawampi kura
Lisu ni political idiot
Zinaanza vipi na magufuli hana sifa?Kampeni na zianze tu tumechoka na haya mambo kwa kweli.
Anayewekewa pingamizi Ni Pombe Magufuli na siyo Raisi Pombe MagufuliRaisi wa JMTZ ni raisi mpaka pale Raisi mpya atakapoapishwa, hiyo ni Katiba ya JMTZ, huyo low IQ wenu anawadanganya na kuwapotosha, kwangu mimi ni Maajabu hata mnaweza ongozwa na kumfwata Binadamu kama huyo, hata simple logic hana, siajabu hata yeye ni kama wewe anaamini kweli kabisa kwamba Magufuli siyo Raisi wa JMTZ kwa sasa!
Mgombea Uraisi ni Raisi wa JMTZ, hashitakiwi wala kuhukumiwa popote pale ndani ya JMTZ, siyo Mwanasheria lkn simple logic inatosha!
Kwahiyo wale wabunge wakuteuliwa mulio watangaaza Jana wote wamepita kwa hakiTuendelee kutunza kumbukumbu, Lissu pamoja na uhuru na haki ya kufanya haya yote oktoba akiwa kesha shindwa vibaya atasema uchaguzi haukuwa huru na haki.
Jana alisema ameambiwa yako magari 3 na kuyataja namba zake kuwa yana watu wenye binduki wanataka wamteke. Tume haikukemea hili, ila leo inakemea vyombo vya habari kutaja majina ya wagombea ambao majimbo yao wapinzani wamevurugwa.
Tume ilitoa elimu ya uchaguzi ya kutosha kwa wanahabari? Kuwepo na watu wa kuambatana na wakiwa nyuma ya wajumbe wa tume.