Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

Tukiwaambia chadema ni wajinga wanatokwa povu!

Wenzenu huku tayari wana wabunge 22 nyie bado mnahangaika kukagua form?
Mambo mengine ni ujuaji ambao hauna maana.

Kwahiyo anategemea kuna mtu ataenguliwa ili yeye abaki peke yake?
Hao ni wabunge wenu wa viti maalum siyo walio chaguliwa na wananchi
 
Raisi wa JMTZ ni raisi mpaka pale Raisi mpya atakapoapishwa, hiyo ni Katiba ya JMTZ, huyo low IQ wenu anawadanganya na kuwapotosha, kwangu mimi ni Maajabu hata mnaweza ongozwa na kumfwata Binadamu kama huyo, hata simple logic hana, siajabu hata yeye ni kama wewe anaamini kweli kabisa kwamba Magufuli siyo Raisi wa JMTZ kwa sasa!
Wewe ndio hujitambui, wala huelewi sheria. Zawadi yako hii => 🖕 🖕 🖕
 
Raisi wa JMTZ ni raisi mpaka pale Raisi mpya atakapoapishwa, hiyo ni Katiba ya JMTZ, huyo low IQ wenu anawadanganya na kuwapotosha, kwangu mimi ni Maajabu hata mnaweza ongozwa na kumfwata Binadamu kama huyo, hata simple logic hana, siajabu hata yeye ni kama wewe anaamini kweli kabisa kwamba Magufuli siyo Raisi wa JMTZ kwa sasa!
ww wa wapi we, hakuna aliye juu ya sheria. Ivorycost raisi aliye kwenye dola kazuiliwa kushiriki kwenye uchaguzi na mahakama kwa kuvunja sheria, hapa bongo watawala wanakanyaga sheria tu
 
Ni mtu low IQ tu anayeweza kufanya hivyo kwenye nchi yenye Katiba kama yetu huku akitegemea kushinda uchaguzi, ...

..hapana.

..kwenye suala la uchaguzi wagombea wote wana haki sawa.

..unless unazungumzia ubatili aliousema Dr.Bashiru wa "kutumia dola kubaki madarakani."
 
Baada ya kushindikana kupatikana kwa kiki ya kukamatwa na mahakama pamoja na kiki ya kuwekewa pingamizi au kufutwa kugombea uraisi, sasa ameona akatimue vumbi kwenye jumba la uchaguzi. Watanzania tuwe makini na watu wanaoshabikia hizi vumbi za Lissu, hawaitakii mema nchi yetu. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Kidumu kidumu na kikaendelee kudumu kaburini
 
Politics is about consolidating friends not enemies
You gather friends who will be with you with their supporters to give you votes

Wakishinda pingamizi hao aliowakea pingamizi watakuwa maadui zake wao na supporters wao hawampi kura
Lisu ni political idiot
Kuna uadui mkubwa zaidi ya kupigwa risasi hadharani?
 
Raisi wa JMTZ ni raisi mpaka pale Raisi mpya atakapoapishwa, hiyo ni Katiba ya JMTZ, huyo low IQ wenu anawadanganya na kuwapotosha, kwangu mimi ni Maajabu hata mnaweza ongozwa na kumfwata Binadamu kama huyo, hata simple logic hana, siajabu hata yeye ni kama wewe anaamini kweli kabisa kwamba Magufuli siyo Raisi wa JMTZ kwa sasa!
Anayewekewa pingamizi Ni Pombe Magufuli na siyo Raisi Pombe Magufuli

Raisi ni taasisi acha ujinga uliokithiri !
 
Tuendelee kutunza kumbukumbu, Lissu pamoja na uhuru na haki ya kufanya haya yote oktoba akiwa kesha shindwa vibaya atasema uchaguzi haukuwa huru na haki.

Jana alisema ameambiwa yako magari 3 na kuyataja namba zake kuwa yana watu wenye binduki wanataka wamteke. Tume haikukemea hili, ila leo inakemea vyombo vya habari kutaja majina ya wagombea ambao majimbo yao wapinzani wamevurugwa.

Tume ilitoa elimu ya uchaguzi ya kutosha kwa wanahabari? Kuwepo na watu wa kuambatana na wakiwa nyuma ya wajumbe wa tume.
Kwahiyo wale wabunge wakuteuliwa mulio watangaaza Jana wote wamepita kwa haki
 
Back
Top Bottom