Chenge ametumia vizuri taaluma yake kwa kupindisha na kuficha+kuchezea vipengele kwenye sheriaa"mikataba"mazuzu lazima awapigeLissu haoni ndani kwa Mtemi Chenge.
Kwani form alikuwa anajaza Kama rais au Kama magufuli?Mkuu, Rais wa nchi ndiye kiongozi wa taasisi nyeti ya uraisi. Nyuma yake ana usaidizi wa mwanasheria mkuu na hata wizara ambayo inahusika na mambo ya sheria.
Sidhani kama wateule wake wote watakuwa ni wazembe kiasi cha kuweza kufanya makosa ambayo yatapelekea bosi wao kuwekewa mapingamizi yenye dosari kubwa za kisheria. Kama likitokea jambo hilo, litahesabika kama hujuma kwake.
Ole itakuwa ni kwa Mwigulu, na kwa wasaidizi wengine. Kwa maana watashukiwa kama radi.
Mara nyingi mnyonge ndo anahurumiwa,hata kura zitakuwa hivyo hivyo,nakuhakikishia Magu atashindwa kwa Mara ya piliNaona pingamizi hili limefurahisha watu! Ila angewekewa yeye watu wangeanza kulia. Tusubiri namba sitasoma vizuri na tusije kuwa na visingizio vya kitoto
Tulieni sindano ipenye, i know you didnt expect that Lissu's act toward your candidate. Sasa mkae kwa kutulia he is the one, the phenomenon wa sheria.Lowasa alikuwa akijua kutafuta political support from enemies and all major political opposition and CCM dissatisfied members to give him votes that is why he got six milion votes
Lisu is not a politician his agenda is to destroy opposition to make sure they don't get enough votes by attacking opposition leaders like professor Lipumba and Attacking Magufuli the CCM chairman Both have milions of members and supports what does List expect with that wrong strategy more than his failure?
Lisu is a political Idiot who doesn't know where to attack to win majority votes
Hawa watu sijui wako wapi? Hawa ni ccm wanaojua wapigane vipi. Wamekwepa mishale mingi.Kinana, Makamba Jr, Jk and Nape ni muda muafaka warudishwe kuongoza vita, hawa akina Katambi, Musiba, Bashiru, Polepole n.k. Lissu atadribble past them like Lunyamila enzi zake
Huu ni mtego kwa tume kudhihirisha ile wanaita "tume huru"... Lissu is a brilliant manWakati Lissu ameweka wazi kuwa ameweka pingamizi/mapingamizi, naomba nitabiri tu kuwa kitachotokea katika kuamua juu ya mapingamizi hayo, ni mapingamizi hayo ya Lissu na ya wagombea wengine (kama yatakuwepo), yote yatatupwa.
Lissu ni kioona mbali na anajua afanye nini katika wakati sahihi.
Mshindi hapa atakuwa ni nani, nakuachia msomaji.
Huoni ata unacho ulizaa huja tumia akili ulizaliwa tarehe ngapi!?Nikuulize wewe unaetumia akili za mgonjwa wa akili kufikiri.
We jinga sana Unatumia nini kufikiria tko au!Nikuulize wewe unayejazwa ujinga na mgojnwa wa akili.watu wametulia tu hawana time nae,si kuna kitu mnakitaka? Mtakipata soon
mwambie akutumie utuwekee kamanda
Unapanic unaanza kutukana,[emoji2][emoji2]We jinga sana Unatumia nini kufikiria tko au!
Hii yote ndio maana ya kuudai upya Uhuru wa habari na haki za msingiNajaribu kutafuta clip za alichokisema Lissu leo hii kuhusu kuwawekea pingamizo wagombea wenzake kwenye mitandao mbalimbali lakini zinakuwa tabu kupatikana, na zinazopatikana, ama ziko nusunusu huku zingine zikiwa zimeondolewa mfano facebook.
Je,tatizo hili liko kwangu tu au na kwa wengine?
Kama liko na kwa wengi,je tatizo ni nini?
Nawaza!!
Za Jioni wanachama wa JamiiForums,
Najaribu kufikiria kitu kitakachotokea ikiwa Jaji Kaijage aamue kukomaa kweli kweli na kumuengua Rais Magufuli kuwa mgombea wa Urais kupitia CCM kufuatia pingamizi lililowekwa na Tundu Lissu.
Waweza kuja na mawazo yako ili tujifunze.
Yote kwa yote Tundu Lissu ametufumbua macho watanzania, nadhani hata Rais Magufuli mwenyewe kastuka sana na kuingiwa na woga.
Muda utaamua.
Lile tamko la kumuengua kugombea latosha , hata mkurugenz wa nec akitumbuliwa bado huku kuna jambo lazima lianze upya ,Anatumbuliwa hapo hapo huyo mkurugenzi.
Anapoliza kutangaza anakuwa tayari si mkurugenzi tena na majanga mengine yatamfuatia.
What is wrong for lissu? Highlight please matagaAsk any political advisor he will tell you that Lisu is wrong when election is near you highly need support from all parties including ruling party members