Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

Clip zote ni matusi na kupigwa risasi basi.
 
Chadema media Chadema media...hawa jamaa wananikwaza kweli yan
 
Muogope sana mtu anayeishi kwa kutegemea kuonewa huruma. Huyu hana chochote cha maana ila anatafuta kuzungumziwa tu na unaweza muuliza sababu za pingamizi lake akakwambia anapigania uhuru wa vyombo vya habari.
Alikuomba Nini toka kwako?
 
Haiwezekani hata kwa mfano mshindi championi anaenda moja kwa moja nyie ndo mnafanya mchujo.
Hapo tundu anajifulahisha na kufulahisha watu wa chadema.
Wewe ni mjinga kwani Magu yupo juu ya sheria za nchi? Kama kweli amekosea itabidi tu kaijage aamue kuchafua cv yake
 

Hii hapa
 
Hawezi thubutuuuuuuuu...........
Hata kama hoja alizoziwasilisha lissu kwenye pingamizi lake zitakuwa na mashiko kwa [emoji817] Jaji hawezi hata kufikiria kulifanya hilo la kumuengua jiweèee.......weeeeeeeee kwani hawajipendi!!
 
Naona pingamizi hili limefurahisha watu! Ila angewekewa yeye watu wangeanza kulia. Tusubiri namba sitasoma vizuri na tusije kuwa na visingizio vya kitoto
Kwani hizo sheria simulizipitisha wenyewe kwa kuitikia ndio kisa muko wengi
 
Duh...inawezekana mtaani au kijijini kwako wana shida Kama ni hivyo...
Shida zipo, nyingi sana mkuu.
Kuanzia hali ngumu ya maisha, hofu inayotokana na kukithiri kwa vitendo vya kinyama dhidi ya watanzania, uminywaji wa demokrasia, kukosekana kwa uhuru wa kujieleza, matumizi mabaya ya vyombo vya dola hususan polisi na idara ya usalama, shida zipo kibao, na hizi zote ni matokeo ya utawala mbovu wa chama cha mapinduzi ambacho kimeiingiza nchi katika umasikini wa kutupwa kwa zaidi ya miaka 50 sasa.

Kwa hivyo ni kweli, sikatai mtaani kwangu kuna shida sana mkuu
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ
 
Ulitaka watu waone na kusikiliza matusi aliyoporomosha? Lugha zinazochochea chuki, hasira na mapambano ya wafuasi wa vyama hivi vya siasa hasa vijana. Matokeo yake ni kusababisha vifo vya kijinga. Lissu hata akiupata huo urais hali ya vipato ya hawa vijana, mimi na wewe itabaki hivyo hivyo (status quo).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…