Unazo wewe na familia yako hizo shida,hebu acha ujinga.Shida zipo, nyingi sana mkuu.
Kuanzia hali ngumu ya maisha, hofu inayotokana na kukithiri kwa vitendo vya kinyama dhidi ya watanzania, uminywaji wa demokrasia, kukosekana kwa uhuru wa kujieleza, matumizi mabaya ya vyombo vya dola hususan polisi na idara ya usalama, shida zipo kibao, na hizi zote ni matokeo ya utawala mbovu wa chama cha mapinduzi ambacho kimeiingiza nchi katika umasikini wa kutupwa kwa zaidi ya miaka 50 sasa.
Kwa hivyo ni kweli, sikatai mtaani kwangu kuna shida sana mkuu
Hii hapa ya facebook page ya bavicha iko vizuri sana. https://www.facebook.com/Najaribu kutafuta clip za alichokisema Lissu leo hii kuhusu kuwawekea pingamizo wagombea wenzake kwenye mitandao mbalimbali lakini zinakuwa tabu kupatikana, na zinazopatikana, ama ziko nusunusu huku zingine zikiwa zimeondolewa mfano facebook.
Je,tatizo hili liko kwangu tu au na kwa wengine?
Kama liko na kwa wengi,je tatizo ni nini?
Nawaza!!
Ogopa sana mtu anayekimbiza mwizi kimya kimya kijana....Ukweli ndio huohuo unawaza kwa kutumia nini tako?
Aliwaza mjinga flan akiwa anakunya.Lowasa alikuwa akijua kutafuta political support from enemies and all major political opposition and CCM dissatisfied members to give him votes that is why he got six milion votes
Lisu is not a politician his agenda is to destroy opposition to make sure they don't get enough votes by attacking opposition leaders like professor Lipumba and Attacking Magufuli the CCM chairman Both have milions of members and supports what does List expect with that wrong strategy more than his failure?
Lisu is a political Idiot who doesn't know where to attack to win majority votes
Fikra za kijamaa izoOgopa sana mtu anayekimbiza mwizi kimya kimya kijana....
Kwa kukuondoa utandi wa ubongo wako... kwa masingira ya sasa lisu anapambana na mgombea sio raisi...Huyu atakuwa TUNDU CHOO sio bure, anatafuta sifa kwa mambo ya kijinga sana. Hivi anadhani anaweza kushindana na serikali? Huyu siasa ishamshinda anatafuta kiki kwa kila namna.
Mtamaliza propaganda zote mwaka huu!! Lissu kawashika pabaya ππLissu hakuja kiushindani wa kisiasa ila ni vurugu tupu! Ndio maana akaiacha familia yake huko ugenini ili akilitibua aondoke bila mzigo. Hakuna mtanzania anaependa vurugu. Ataisoma 28 oct atawajua vizuri wa TZ
Shauri yako...Fikra za kijamaa izo
Mbona kinyonge sana? Una njaa? KaleTundulisu anazid kulamba waya wa umeme akipigwa shot asilie ohooo pia mnavyo furaia Sasa iv endapo Ngoma itageuka basi vicheko viwe Sawa
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Ujinga kanifundisha mama yako, maana hapo awali nilikuwa na akili.Unazo wewe na familia yako hizo shida,hebu acha ujinga.
Kama mlimpiga risasi na Mungu akamponya mtamtisha nini safari hii??? Mungu yu pamoja na Lissu!!Tundulisu anazid kulamba waya wa umeme akipigwa shot asilie ohooo pia mnavyo furaia Sasa iv endapo Ngoma itageuka basi vicheko viwe Sawa
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Kwa muandiko huu hata Mimi ningeweka pingamizi.
Alafu kuna mtu anakuita Mama. Dunia kwa vioja, Duuh
Watu wakisema huyu mtu anahitaji msaada wa kitaalamu ajatulia mnaona wanamnanga.
Kadri siku zinavyoenda ndio anazidi kuonekana kituko kwenye jamii yeye kila kitu anafanya tofauti na wenzake.
Nawaambiaje lazima mruke kichaa mwaka huu!! Mtamaliza propaganda zote!!! Lissu kawashika pabaya πππTundu lisu amejawa na chuki Yuko tayari hata damu imwagike akimbilie alipokuwa maana walishamwakikishia ufadhili naamini akili anazotumia sio zake binafsi kuna watu watu wanamchanganya na kuona hii nchi ikingia kwenye machafuko ,urais unatafutwa ila sio kwa njia hio,yaani kila kitu anataka apewe attention ,watanzania tuwe makini mzungu sio MTU wakuaminika sana atakushawishi kwa namna yoyote tuu apate pakuanzia....#watanzania tuwe makini huyu jamaa atatuletea shida kwa kiherehere chakujifanya kujua kila kila kitu vitu vingine havina mantiki
Hahaha ndugu zangu wanasemaje upande wa pili?!
Mataga mpo wengi Ila Hanna hojaUlitaka watu waone na kusikiliza matusi aliyoporomosha? Lugha zinazochochea chuki, hasira na mapambano ya wafuasi wa vyama hivi vya siasa hasa vijana. Matokeo yake ni kusababisha vifo vya kijinga. Lissu hata akiupata huo urais hali ya vipato ya hawa vijana, mimi na wewe itabaki hivyo hivyo (status quo).
Sio kufulahisha = kufurahishaHaiwezekani hata kwa mfano mshindi championi anaenda moja kwa moja nyie ndo mnafanya mchujo.
Hapo tundu anajifulahisha na kufulahisha watu wa chadema.