Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

Nawaambiaje lazima mruke kichaa mwaka huu!! Mtamaliza propaganda zote!!! Lissu kawashika pabaya 😂😂😂
Huna facts huwezi kushabikia ujinga nilikuwa namkubali huyu jamaa Ila kiuhalisia hana sifa za kupeperusha Bendera ya nchi ya Tanzania maana ni mropokaji ,kwake kila kitu ni makosa ,wajinga kama we we na wenzio ndo mtashikwa unavyowaza
 
Ana
Haiwezekani hata kwa mfano mshindi championi anaenda moja kwa moja nyie ndo mnafanya mchujo.
Hapo tundu anajifulahisha na kufulahisha watu wa chadema.
Anajifurahisha na kufurahisha ndo nyie mloishia darasa la nne hata kiswahili kuandika mnashindwa
 
Matusi yako wapi hapa:

https://t.co/l1bisaYy2X?amp=1
 
Kuna mtu kaweka pasport size kakaa juu ya gari anakula mahindi na kakaa upande hahahahahaha, CCM hawapo seriously
 
Hakika huyu mtu hayupo vizuri upstair. Ameshindwa kabla hajaanza. Yaan ni comedy tupu! Bora Hashim Rungwe tule tu ubwabwa aysee. Huu muda angeutumia kufanya utulivu ili aweze kupambana na jiwe. Yeye analeta comedy?
Subiri ambae amekuwa akileta commedy siku zote, ataonekana vizuri ndani ya wiki hii
 
Wenzenu wako field saa hii wana majimbo 22 nyie mnahangaika na ujinga eti pingamizi?

We ndio kiazi kweli, kwani hao 22 wameshinda kwa uchaguzi? Umeishiwa na hoja saa umebaki unaongea utoto tu.
 
We ndio kiazi kweli, kwani hao 22 wameshinda kwa uchaguzi? Umeishiwa na hoja saa umebaki unaongea utoto tu.
Mkuu wewe endelea kushangilia pingamizi la Lisu.

Lisu anvekuwa na akili angewasaidia wagombea wake kwenyw hayo majimbo ambayo ccm imeshashinda,
Sasa kama unasubiri wananchi waje wapige kura basi subiri.

Kila siku huwa tunawaambia humu kwamba ccm iko kimya iko field ndio kombe linakopatiakana. Nyie endeleeni kumshangilia Lisu
 
Hivi hukuwahi kumsikia kauli za magu za kuudhi, dhihaka, au akiwaponda wapinzani
 
Cc.FaizaFoxy "huko shule mlienda kusomea ujinga?" [emoji23]
 
Lissu anawanyoa mmoja mmoja, Wembe ni ule ule! Lissu njia yako ni nyepesi Ikulu mapema tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…