Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,772
- 8,939
Cheki bavicha facebookNajaribu kutafuta clip za alichokisema Lissu leo hii kuhusu kuwawekea pingamizo wagombea wenzake kwenye mitandao mbalimbali lakini zinakuwa tabu kupatikana, na zinazopatikana, ama ziko nusunusu huku zingine zikiwa zimeondolewa mfano facebook.
Je,tatizo hili liko kwangu tu au na kwa wengine?
Kama liko na kwa wengi,je tatizo ni nini?
Nawaza!!
Update:
Hatimae nimepata link kutoka kwa Hilda Newton kwenye akaunti yake ya Twitter
Ni hii:
https://t.co/l1bisaYy2X?amp=1
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Baada ya oktoba 28 mtapoteana humu,Lissu anawanyoa mmoja mmoja,Wembe ni ule ule! Lissu njia yako ni nyepesi Ikulu mapema tu.
Mkuu ni wabunge wateule tayari. Siasa ni sayansi. Mnakopambana huko hamtatoboa na mkirudi mnajikuta mna wabunge 2.We ndio kiazi kweli, kwani hao 22 wameshinda kwa uchaguzi? Umeishiwa na hoja saa umebaki unaongea utoto tu.
Unaujua mwisho wa watu walioponea chupuchupu kwa kupigwa risasi duniani??Mkuu wewe endelea kushangilia pingamizi la Lisu.
Lisu anvekuwa na akili angewasaidia wagombea wake kwenyw hayo majimbo ambayo ccm imeshashinda,
Sasa kama unasubiri wananchi waje wapige kura basi subiri.
Kila siku huwa tunawaambia humu kwamba ccm iko kimya iko field ndio kombe linakopatiakana. Nyie endeleeni kumshangilia Lisu
Kwamba mwisho wao ni kuwa marais?Unaujua mwisho wa watu walioponea chupuchupu kwa kupigwa risasi duniani??
Angewekewa pingamizi yeye tungesikia makelele kibaao, oooh wanamuogopa, wamuache waingie ulingoni, wanafiki bwanaTaarifa kwa Vyombo vya Habari na Umma
Mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mhe. Tundu Lissu, akiwa pamoja na Mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais, Mhe. Salum Mwalim Juma Mwalim, muda huu wanaelekea Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Uchaguzi House) jijini Dodoma kuwasilisha fomu zake za mapingamizi dhidi ya wagombea wengine katika nafasi ya Urais wa JMT, baada ya hapo atazungumza na Waandishi wa Habari Ofisi za Chadema, Kanda ya Kati, jijini Dodoma.
Tumaini Makene
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano
Chadema
Agosti 26, 2020
====
Tundu Lissu amewawekea Pingamizi Wagombea Wawili wa Urais. Amewawekea pingamizi Ibrahim Lipumba wa chama cha CUF na Dr. John Magufuli wa chama cha CCM.
Hadi muda unaisha, hakuna aliyemuwekea Pingamizi Tundu Lissu. Hivyo kaondoka na kuelekea Ofisi za CHADEMA za Kanda kuongea na Wanahabari.
Zaidi, soma:
Uchaguzi 2020 - NEC imemteua Profesa Ibrahim Lipumba kuwa Mgombea wa Urais
Uchaguzi 2020 - NEC imemteua Dkt. John Pombe Magufuli kugombea Urais na Mama Samia Suluhu Umakamu wa Rais kupitia CCM
Uchaguzi 2020 - Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA
View attachment 1548762View attachment 1548764
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Baada ya oktoba 28 mtapoteana humu,
Hivi mwenzio tayari ana mabao 22 wewe una 0 bado unaota ushindi?
Lisu atatia aibu sana mwaka huu
Yatarudishwaje sasa?Yatarudishwa yote hayo.Huu si wakati ule lowassa Bubu aligombea na hajui hata Sheria za uchaguzi zinasemaje, Huyu Mbobezi wa sheria atawashangaza na hamtaamini atakavyoandika Historia mpya. Magufuli mwenyewe na Pole pole sasa hivi wanaugua Opademia Jahazi linazama wakiwa ndani yake.
Yatarudishwaje sasa?
Wote nyie hamjielewi ndio maana mmekomaa kushangilia mapingamizi ya kijinga ya Lisu.
Huku field wenzenu wanajua nini cha kufanya
Furaha ya Jana nikilio chaleo mbona hutaangaazi tena wale wabunge wako wakuteouliwaTundu lisu amejawa na chuki Yuko tayari hata damu imwagike akimbilie alipokuwa maana walishamwakikishia ufadhili naamini akili anazotumia sio zake binafsi kuna watu watu wanamchanganya na kuona hii nchi ikingia kwenye machafuko ,urais unatafutwa ila sio kwa njia hio,yaani kila kitu anataka apewe attention ,watanzania tuwe makini mzungu sio MTU wakuaminika sana atakushawishi kwa namna yoyote tuu apate pakuanzia....#watanzania tuwe makini huyu jamaa atatuletea shida kwa kiherehere chakujifanya kujua kila kila kitu vitu vingine havina mantiki
hayupo juu ya sheria so far nimgombea , ila kwa hili watu wake wamehujum ,sasa sijui itakuaje, maana hoja zina mashiko thats hata kwenye majimbo zimetumika kuwaengua wabunge , je tume itajinasuaje,Magu yu juu ya sheria?
Moja kwa mojakwenye tittle. Ninachokiamini na ambacho hamtaamini nikwamba, Tanzania Bara yote inakwenda kuwa "a total Green!" kwa maana ya Wabunge wote kuwa waCCM.
Hii ni either JPM yupo au hayupo kwenye Kinyang'anyiro.
Swali ni hili, Lissu au Membe akishinda Urais, atafanyeje kazi ktk Mazingira kama haya??
Mbona umeshikwa na uchungu kama mja mzito sasa ilefuraha yako ya Jana imeishia wapi yakukatika viuono ukishangiria wabunge wako 20 wakuteuliwaMbona kinyonge sana? Una njaa? Kale
Ujinga kanifundisha mama yako, maana hapo awali nilikuwa na akili.
Sasa kama mama yako kanifundisha ujinga, nyie watoto wake basi mlizaliwa wao!
Tundu lisu amejawa na chuki Yuko tayari hata damu imwagike akimbilie alipokuwa maana walishamwakikishia ufadhili naamini akili anazotumia sio zake binafsi kuna watu watu wanamchanganya na kuona hii nchi ikingia kwenye machafuko ,urais unatafutwa ila sio kwa njia hio,yaani kila kitu anataka apewe attention ,watanzania tuwe makini mzungu sio MTU wakuaminika sana atakushawishi kwa namna yoyote tuu apate pakuanzia....#watanzania tuwe makini huyu jamaa atatuletea shida kwa kiherehere chakujifanya kujua kila kila kitu vitu vingine havina mantiki