Tundu Lissu kulihutubia taifa Desemba 31, Watanzania tuwe tayari kumsikiliza

Aje tumpe nchi, upinzani nao wakishindwa kutuongozwa tuwape maccm milele
 
Zulumati wa NSSF roho mbaya....
 
Hivi analihutubia taifa au anahutubia wanachadema?
Taifa ni la wanachama,wakereketwa,wadadisi na wahuni.
Hivyo hata wahuni hupenda kusikiliza Sirro atapeleka askari upande gani.
Hivyo ni sahihi atalihutubia Taifa.
 
Ni heri nimsikilize Lissu mtu mwenye akili timamu kuliko yule mwehu ambaye kauli yake ya mwisho kabla hajakata roho ni👇
"Kaa na mavi yako nyumbani"
He died (as) an African hero... Move on.
 
Huyu ndo Raisi Samia hajapigiwa kura
 
Ila yule aliyeongopa mchana kweupe tena msikitini mnampigia makofi kila kukicha

kifo cha Rais hakitangazwi tangazwi tu hovyohovyo....hutangazwa pale tu itakapoamuliwa kutangazwa...tujifunze kujua dola inafanyaje kazi...Yule mtu wenu hata mambo madogo tu kama haya hayajuia mnataka apewe dola...mjifunze kwanza protocal za nchi..
 
Vp umeshapewa ile Noah aliyowaahidi yule kubwa la maadui????

ndio shida ya kufanya kila jambo siasa, ule ulikuwa mfano kama tungelipwa basi hela ile ingeweza kumnunulia kila Mtanzania Noah..

Huoni leo hii Serikali ni share holder kwenye migodi ya Barrick na kuna joint company inaitwa TWIGA....huoni kule kabanga nickel nako kuna joint company inaitwa TEMBO....angalau kidogo kimepatikana baada ya watu kupigana...hii ndio maana ya Legacy...tuambie sasa huyo mgombea wako nini ameligania kwa Taifa na watanzania hata 10mil tu wakanufaika...?
 
Huyu alishinda uraisi, magufuli akwamwibia kura, tukamwambia nenda kapumuzike huko ubelgiji Ili tushughulike na na huyu mwizi, mwezi march tare 9 tukahitimisha kaxi takatifu, tukisubiria kilio na simanzi kwa vibaraka. Mwamba atarudi kuchukua nchi yake soon
 
Kama yule kubwa la maadui pamoja na uboovu wa matendo na kauli zake amekuwa Rais japo kwa wizi nan atashindwa????
Et anamwambia mtu bak na mav yako nyumban na niny mazumbukuku mnashangulia tu

utendaji wake uliotukuka ndio ulifanya wanaCCM pale dodoma kumpa nafasi hiyo out of many candidates.... utendaji wake wa kazi kuanzia akiwa naibu waziri na waziri ndio ulimbeba..

Ukiondoa mapungufu yake kama binadamu wengine, (mimi, wewe na LISSU) jamaa amepiga kazi kubwa kwa muda mfupi....
 
Et utendaji uliotukuka,utukufu unatakiwa kupewa co kujipa.
Kiongozi ambaye chini ya uongozi wake pameshuhudiwa kila aina ya ovu huku yy mwajibikaji namba 1 akipiga kmya nn maana yake????
 
18 : 00 PM ni saa ngapi kwa majira ya Afrika Mashariki
 
matumaini ya kuichukua nchi 2025 ni makubwa mno..
Kwa akili yako unafikiri kwa nini nchi haikuchukuliwa mwaka 2010, 2015 na 2020?

Haya “matumaini” hewa yanapaswa kutupwa kule then lifanyike linalopaswa kufanyika. NEC hii na Katiba ya sasa haiwezi kumkabidhi Nchi mtu mwingine zaidi ya mgombea wa CCM. Kwa sasa hata Kibajaji au Msukuma akisimamishwa, atatangazwa mshindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…