bulicheka 4
JF-Expert Member
- Mar 22, 2020
- 915
- 1,020
Sawa...Lissu uraisi atausikia tu.
Tupopamoja.Watanzania tunatembeleana Magerezani kama Lema alipo wekwa ndani Wabunge wenzake walikatazwa
Watanzania tunapeana nafasi za kuaga maiti bila bugudhi sio kama Ndesamburo alivyonyimwa kuagwa
MAPAMBIO yapo chato, jongea hukoTanzania inaweza pata Raisi SHOGA mwaka 2545.
Hapo hata kaburi langu halitakuwepo, labda Lissu takuwepo.
Alipokuja mliishia kukata mauno tu. Sikia tukwambie ukweli mchungu Yesu alisema shetani awezi kumtoa shetani mwezake. Hakuna kesi mtafanya Wala uchunguzi.peleka upumbavu kwa wajinga wezako.alafu mnamshambulia Lisu kana kwamba yeye ndiyo kamuua rais. Mifuvu mijinga Kama lako ndiyo tatizo la hii nchi.Mlete kwanza dereva wako uliyemficha kule Ubeljiji ili kesi ya kushambuliwa kwako ianze kunguruma na usanii wako wewe Lissu uonekane wazi wazi
Kweni uongo?Kwan hata yeye angekuwa madarakani watu wasingepoteza kazi,wasingeuawa hayo mambo yapo tu hayakosi ya kaanza vizuri ila ametibua hapo kwamba miaka mitano watu wameuawa....
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Viongozi gani waliopikwa..?Aje tuu ila ajue Tanzania haipo pale alipoiacha.... imesonga mbele sana na inazidi kusonga mbele.
Tena sasa atakutana na Mama aliyenyooshwa na kunolewa na makali yake! Atakutana na team ya viongozi wazalendo waliopikwa na kuiva
Kwa hiyo kuuwa ni kawaida? Kwa kiongozi basi ikiwa hivyo hiyo nafasi inawafaa watu wa shetani tu.Kwan hata yeye angekuwa madarakani watu wasingepoteza kazi,wasingeuawa hayo mambo yapo tu hayakosi ya kaanza vizuri ila ametibua hapo kwamba miaka mitano watu wameuawa....
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Lisu anajua Kuna kufa.tatizo ni yule mliyemchukulia Kama mungu kwenu ndiyo maana mkakataa kusema anaumwa sababu kamungu mtu akapaswi kuumwa. Mngejua hata yeye angepita hata Lisu msingempiga risasiLissu si walikwambia Nyumbani kumedamshi rudi... nawe Lissu tunakupa miaka miwili tu mkadashiane huko huko dunia tunapita mbona
Basi azikwe na Mobisol kwenye Bukta labda betri itashtua mapigo ya moyo.Ana risasi na chuma mwilini
Umemuona hata kwa video au unasikiliza propaganda mfu za Mataga?Chifu mbona spika yupo tu.Na leo amesema kuwa miradi mikubwa yote aliyoianzisha jpm atahakikisha inakamilika.
Kama shetani Jiwe mwenye PhD fake aliweza kuwa Rais iweje Lissu ashindwe?Chokochoko zote za TOBO zinalenga kuwaaminisha mashabiki wake kuwa anaweza kuwa Rais wa Tanzania. KILU huu ni upuuzi gani!? Hilo wasahau wote.
Haya maswali sio mazuri kabisa!!
Yana miisho mibaya
Kafuturu chato kwanzaUmeongea fact nyingi lakini Lisu na Lema ni malaya tu wa kisiasa wala hawastahiki kujadiliwa hapa kwa sasa
Malizeni kwanza kulia then ndio mje hapaMnasubiri nini kumpa Tundu uraisi
Mnakwama Wapi wajomba ?
Usiniambie inabidi msubiri mpaka 2025