Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Polisi Nyamongo wameshambulia msafara wetu kwa mabomu ya machozi wakizuia njia kuelekea kwenye mkutano wetu wa kampeni

..Polisi wamefanya jambo gani lililosababisha wananchi kuwarushia mawe?

..Wananchi hawawezi kuanza kurusha mawe kwa Polisi bila kuwepo jambo ambalo limewakera.
 
Kama yupo sawa na wengine kwenye uchaguzi kwanini aitwe ‘incumbent president’?...
Badilisheni katiba basi awe rais wa kudum,msitishe watu hapa ,kwani cheo rais amezaliwa nacho hata Mimi kesho naweza kua rais,
Yani Kila siku rais why angombee,hiki ni kipindi Cha kampeni, msiwafokee watu,acheni kujikuta bwana hakuna mwenye lesseni na nchi hii taratibu, sheria na kanuni zifuate,msituletee matatizo hapa na kwa mazalau Kama haya tupo
 
Atasimamishwa na wapiga kura kwa wingi wetu, sio mimi peke yangu. Muhimu ni kuheshimu taratibu za uchaguzi ambazo amekuwa akizisigana the moment he touched down...
Hajadekezwa, wala siyo mgeni aliyekaribishwa Tanzania. Ni kwake kama wewe. Tukiwa mashabiki na wapenda ufalme ni vigumu kukubali Lissu atendewe sawa na Rais wa sasa, lakini kanuni ya demokrasia na sheria yetu ya uchaguzi ndivyo zinavyotaka
 
Wakufuata sheria na taratibu ni mgombea Lissu. Tabia zake zimeshaanza kuwachosha NEC na jeshi la polisi; he is becoming ‘a runaway train’.
 
Unatia kinyaa
Lissu Ndio kapiga watu mabomu?
Jiwe Ndio kagawa nchi kiukabila na kiukanda Sasa tutegemee chochote
Kipi kitakuwa cha ajabu ? tulisikia hayo hayo kwa Lowassa nini Lissu, Kinyago tuliye mtengeneza wenyewe hawezi kutushida. Mtaona kitakachofuata baada ya uchaguzi. Ni kuibomoa Chadema tuu kwa kwenda mbele.
 
mabadiriko.
 
Inatafutwa sababu ya kuhalalisha " asylum application ". Hiyo sababu hamuipati, watanzania tupo makini!!! Provocations zote zitakuwa " neutralised" kistaarabu kabisa.
 
Tulia ivyo ivyo ashugulikiwe yesu
 
Wakufuata sheria na taraibu ni mgombea Lissu. Tabia zake zimeshaanza kuwachosha NEC na jeshi la polisi; he is becoming ‘a run away train’.
Elewa wenye nchi yao ni watanzania wenyew,lissu,jpm,tume na tahasis zingine ni wapangaji wa wananchi,hivyo wenye nchi yao wakisema yatosha hakuna wa kupinga,iwe jua au mvua msijidanganye
 
How much is he being paid and by whom exactly?
 
Kipi kitakuwa cha ajabu ? tulisikia hayo hayo kwa Lowassa nini Lissu, Kinyago tuliye mtengeneza wenyewe hawezi kutushida. Mtaona kitakachofuata baada ya uchaguzi. Ni kuibomoa Chadema tuu kwa kwenda mbele.
Nilifikiri ungesema kutatafuta suluhisho la ukabila na uonevu wa baadhi ya jamii
Viongozi wote walioangamia waliangamia kwa sababu ya dhulma na damu za watu
Hivi magufuli kaua wangapi?
Kafilisi wangapi
Kajeruhi wangapi
Kafunga wangapi?
Rais wa zamani wa Sudan Mara baada ya serikali yake kuangushwa alisema
''haya yananikuta kwa sababu ya dua za niliowadhulumu"
 
Character assassination; vipi elimu, afya, miundombinu, barabara; mbona usiongelee hayo.

Unajua Magufuli yeye mwenyewe aelewi impact ya kazi yake economically. Leo akiwa Mlowa anashangaa mji umekuwa tofauti na miaka 5 iliyopita, that is what providing access does to places inaruhusu watu kufuata fursa sehemu ambazo walikuwa awawezi fika kirahisi.

Sasa hivi ukienda kahama nasikia kuna kila makabila chances are in 10-15 years msishangae Kahama ikapewa hazi ya jiji; yote hayo ni kwa sababu ya kuzifungua sehemu kwa barabara.

Mtu anaempinga Magufuli hayupo serious kwenye agenda za utaifa.

Huu uchaguzi ni kati ya individualism (Lissu) na Interests of the majority (Magufuli). Ndio maana ata humu JF washabiki wa Lissu ni watu wanaolalamika biashara zao hasa building industry, mishahara yao etc with personal interests.

Lakini usikii watu hao wakiongelea shule, afya, miundombinu vitu vinavyotugusa wengi wetu hasa sisi tulioziwa, kukulia na kuishi vijijini for the most part of our lives.

Ni selfish ppl tu ndio wanaounga mkono campaign ya Lissu for the most part.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…