Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Polisi Nyamongo wameshambulia msafara wetu kwa mabomu ya machozi wakizuia njia kuelekea kwenye mkutano wetu wa kampeni

He is being paid by mabeberu repsented by AMSTERDAM and Company. The amount is in form of handouts! Kama unaelewa!
Mimi mpaka Leo nashindwa kujua mabeberu ni Akina nani
Ki lugha beberu ni mbuzi dune
Kisiasa sijui ni nini tafadhali naomba unitajie nchi za mabeberu
 
Kati ya wagombea watakaotia aibu mwaka huu ni Lisu.
 

Adui ukisikia inalalamika, shikilia hapo hapo ujue umepatia, miaka15 Magufuli tena 2020 to 2035.

Na lazima tubadilishe katiba, kwani watanzania tutapiga kura kukataa au kukubali mabadiliko hayo ya katiba. hakuna wasi wasi tutapitisha kidemokrasia.
 
Character assassination; vipi elimu, afya, miundombinu, barabara; mbona usiongelee hayo...
MAKABURU wamejenga south africa bila kufilisi mtu wala kuua mtu wala kubambikizia watu kesi za uhujumu wala bila kutumia hela za wahanga wa maafa wala bila kunyang'anya pesa kwenye akaunti za watu masikini
Still wazalendo waliwafurusha
Of course Pombe kajenga Sana miundo mbinu na kununua ndege
The big question is by which cost?
Nelson Mandela hajajenga hata km moja
Lakini his legacy will be there forever
Pombe
Kaua wangapi?
Kajeruhi wangapi
Kafilisi wangapi
Kajeruhi wangapi
Wangapi wapo jela bila makosa
Huyu ni mtu katili na dhulma Sana
You can't be serious just because of different religions or political parties Ndio anatesa watu
Tangu uhuru wa nchi hii tulikua hatuna misamiati kama vile watu wasiojulikana
Best of ukarimu (hospitality) ni watu kua na Amani kutokana na maneno yako na mkono wako
Na ukarimu wa hali ya chini ni kuwaondolea watu udhia njiani
My friend lissu Kapata matatizo sio tu hawezi kwenda kumuona Bali wote walioenda kumuona walijikuta matatani
Mtu yupo Hoi anakata mshahara wake anakataa kuidhinisha hela ya matibabu
Wahanga wa tetemeko ambao walichangiwa na taasisi mbali mbali kakataa kuwasaidia
Sawa angalau angewapa pole na kuwaliwaza
Kawafuata na kuwaaibisha na kuwaambia your about to die
These are strange things in our country
Nampongeza mzee mwinyi alienda kumuaangalia lissu hospital na akampa hela kidogo bila uoga
Akaongea na waandishi wa Habari nairobi akasema ubinadamu Ndio umenifanya nije hapa kama kuna mtu kakasirika namuomba msamaha
Rais wa Sudan baada ya serikali yake kuangushwa alisema
"" Haya yananikua kwa sababu ya dua za masikini niliowadhulimu""
" mkapa aliua wapemba akaandika kitab cha kurasa 320 sijui pombe ataandika kitab cha kurasa ngapi
 
Adui ukisikia inalalamika, shikilia hapo hapo ujue umepatia, miaka15 Magufuli tena 2020 to 2035.

Na lazima tubadilishe katiba, kwani watanzania tutapiga kura kukataa au kukubali mabadiliko hayo ya katiba. hakuna wasi wasi tutapitisha kidemokrasia.
Mwana haram utamjua tu
Hata ukimficha kwenye chupa Atatoa kidole
 
Siro ameanza kutekeleza maagizo ya John. Maana juzi pale Dodoma alifokewa Sana kwamba kwann hatumii mtutu kumzuia Lisu kupiga kampeni
 
Ndugu zangu wa nyamungo, ni vyema tuwe makini na matukio yanayosababiswa na mihemko kwani wanaoteseka ni sisi wananchi wa kawaida na sio viongozi.

Mathalani, Leo tarehe 28.09.2020 kulitokea kutofautiana kati ya Jeshi la polisi na wafuasi wa CHADEMA na kusababisha baadhi yao kukamatwa na wengine kuumizwa.

Wakati huohuo kiongozi wa chama hicho aliendelea na safari yake.

Tujiulize, ni wangapi walitakiwa kuwepo nyumbani na familia zao lakini kwa sasa wapo kwenye kachumba kadogo wakisuburi kupelekwa mahakamani?

Ni wangapi wanauguza majeraha walioyapata kwenye tukio hilo?

Ushauri wangu ni kwamba tuyapime maneno tunayopewa kwani tunaumia sisi na familia zetu tukiwaacha wao wakiendelea kufanya hayo.
 
Baseless accusations
 

You guys blames and reject everything, see where magufuli has the country to new heights.

Kenyans richer but Tanzania home to more millionaires -- very new destination
 
Huu ni mwanzo tu wa chokochoko kwa maelekezo ya NECCM na Jiwe lao!!!!
Hii ni baada ya kuona Tundu Lissu ANAKUBALIKA ambavo haiku tarajiwa!!!
 
Adui ukisikia inalalamika, shikilia hapo hapo ujue umepatia, miaka15 Magufuli tena 2020 to 2035.

Na lazima tubadilishe katiba, kwani watanzania tutapiga kura kukataa au kukubali mabadiliko hayo ya katiba. hakuna wasi wasi tutapitisha kidemokrasia.
Anza mdaa huu mmechosha ,Yani mkiwa chama kimoja ni nyie mlipitisha vyama mbadala,na maana yake ipo siku mtakoma kushika dola na wataongoza wengine.
Leo mnakabwa koo mwawaona hao mliowapisha ni Kama hawana hualali huo,
Sasa nawambia mungu hunena na Kila mja wake mengi amenena juu ya taifa hili ,na naenda kufunga siku 14 ,sijawai lakini lazima nitimize maagizo yake ,Kama kweli binadam ni zaidi ya mungu Basi ila Kama sio kweli Basi mungu atamleta rais anaemtaka na si binadam anaye mtaka ,kesho naanza mfungo juu ya taifa langu
 
Binafsi siwalaumu Polisi najua wapo kwenye shinikizo kali Sana kuhusu utendaji wao.
Huo ndio ukweli kabisa, mbona polisi wanaposimamia mikutano yote iwe ya wapinzani iwe ya chama tawala kwa kutumia misingi yao ya kazi matatizo kama haya huwa hayatokei.
 
You guys blames and reject everything, see where magufuli has the country to new heights.

Kenyans richer but Tanzania home to more millionaires -- very new destination
Brother try to Google Johannesburg or cape Town please. We are talking about people's lives not buildings and roads
Anyways ipo siku atakuja kujua kua damu ya binadamu inathamani kuliko Tanzania nzima na mjengo yake. No body blame for infrastructure by we ask the cost.

Walio dhulumuwa ukiwaambia ndege hawakuelewi. Unafikiri kwa nini mzee mwinyi ametawala miaka 10 halafu anakaa vijiwe vya kahawa bila ulinzi. Nyerere alikua anacheza bao hadharani. Kikwete anafanya jogging hadharani.

Hakuna kitu kizuri kama kuishi na watu vizuri utakua huru milele. Kila siku anaongelea Sadam na ghadafi Hao watu walikua ni dictators
Let's wait and see miaka mi5 sio mingi tumevumilia na hii tutavumilia.

Of course he can't finish Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…