Tundu Lissu: Rais Samia amenilipa stahiki zangu nilizonyimwa na Magufuli

We ni ngombe na comment yangu nataka iwafikie wewe, Bashite, Nchemba, Siro, ndugai, msiba ? Nawengine wote wenye akili za kikatili hasa wale wanaotaka kuongoza taifa hili. Hatutaki roho mbaya
 
Rest well our hero John Pombe Magufuli
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais Samia suluhu Hasan
Watu wengi humu hawajui tofauti ya kiuongozi kati ya JPM na bi Hangaya.
Magu alikuwa na mkakati wa kuendesha nchi kwa kutumia pesa za ndani huku akikopa kidogo.

Samia yeye anaendesha nchi kwa
kukopa sana huku akiacha maingizo ya pesa za ndani zikiwa hazina msukumo wowote.
 
Haya matusi yako yanalishushia hadhi hili jukwaa. Kwa vile wewe unaliwa tigo unafikiri kila mtu choko kama wewe
Kuna mtu ka-comment kuwa hizi habari za Rais Samia kumlipa stahiki zake Mhanga aliyejeruhiwa na Magufuli kuwa hawatapenda, mara sekunde tu ibilisi wa Magufuli kaandika mashudu! Kwa kweli Mungu ni fundi, miaka 5 ile Taifa lilikuwa jehanamu.
 
Mlio karibu na mama, mwambieni Kuna wale wsliofhulumi na serikali ya awamu ya tano kwa kuvunjiwa nyumba zao huku Kimara mpaka Kibamba. Hawakulipwa chochote
 
Safi sana mama piga kazi tumecheleweshwa mnooo kama taifa. Kanyaga twende
 
Mama SSH Mungu akubariki sana. Mungu akuongezee busara.

Umeponya mioyo ya watu. Mm ni miongoni mwa tulioumizwa na utawala wa yule mshamba, alikuwa na wapambe washamba ambao KAZI Yao ni kubambikia watu kesi.

Utasikia huyu kamtukana rais. Yote yamekwisha na mungu mwema alikufa na mavi tumboni
 
Fupi nyundo fupi nyundo
Kwanza alikaza mishipa ya shingo balaa, akamvua ubunge mwana, lakini jamaa kwakua baharia akasonga mbele baada ya maswahibu.

Sasa aliyemvua ubunge leo ni sawa tu na raia wa kawaida hana maajabu nadhani hata mjengoni anaingia kwa kuvizia sana.

Mwelezeni mtoto wa ikungi kavuta mafao kwa sasa anakula whisky na nyama choma belgium , yeye anapigwa na vumbi la funza kule kwao na ajue heshima yake ilishuka kitambo ajijue kabisa.
 
Kuna tofauti Kati ya mpinzani na mwanaharakati
Huyo mpinzani atakae sifia si mpinzani halisi, ni Mpinzani uchwara. Mpinzani nia ni kukutoa wewe. Pale ulipo fanya vizuri yeye atataka afanye vizuri zaidi. Ukiona adui yako anakushangilia simama, geuka uangalie ni wapi umekosea.
 
Utawala wa awamu ya 5 iliumiza sana watu, Rais Samia anarejesha mshikamano wa Kitaifa ulioharibiwa na Magufuli. Ubaguzi wa kivyama ulishamiri, ilifikia wakati akifa wa chama fulani wengine wanasema haituhusu. Mwacheni Mungu aitwe Mungu.
Tunajua watu ni wanasiasa tu. Ukatili afanyiwe mwanamke, akifanyiwa mwanaume ye ajikaze.
 
Mama Samia ataishi. Ataiepuka jehanamu maana amemtendea mema mwana wa Mungu Tundu Lisu tangu mwanzo.

Yule shetani ndiyo maana aliondolewa mapema na muumba.
Ila tuendelee kuidai katiba mpya lisije kutokea shetani lingine miaka ijayo au unasemaje mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…