Bambushka
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 3,952
- 7,218
Njaa haina baunsa wala uanaharakati!
Hakuna mkate mgumu kwenye chai!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njaa haina baunsa wala uanaharakati!
We ni ngombe na comment yangu nataka iwafikie wewe, Bashite, Nchemba, Siro, ndugai, msiba ? Nawengine wote wenye akili za kikatili hasa wale wanaotaka kuongoza taifa hili. Hatutaki roho mbayaUmepata "likes" 39 kwa comment yako hii...yaani watu 39 ambao mnafanana upeo (bongo zenu zinarusha frequency usawa wa magoti yenu) wanakupongeza! Sijakosea mkuu binadamu anarusha mawimbi kama mnara wa voda na pia anapokea mawimbi ila ukubwa na nguvu ya mawimbi anayopokea yanategemea pia kiwango chake cha uelewa!
Mkuu hebu jaribu siku moja kuwaza nje ya box la hizi dini ambazo tuliletewa na waliozileta wameziacha kuzitumia!
Watu wengi humu hawajui tofauti ya kiuongozi kati ya JPM na bi Hangaya.Rest well our hero John Pombe Magufuli
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais Samia suluhu Hasan
Kuna mtu ka-comment kuwa hizi habari za Rais Samia kumlipa stahiki zake Mhanga aliyejeruhiwa na Magufuli kuwa hawatapenda, mara sekunde tu ibilisi wa Magufuli kaandika mashudu! Kwa kweli Mungu ni fundi, miaka 5 ile Taifa lilikuwa jehanamu.Haya matusi yako yanalishushia hadhi hili jukwaa. Kwa vile wewe unaliwa tigo unafikiri kila mtu choko kama wewe
Naitwa sukuma gang ikiwa sijui hata maana yakeAcha roho ya kutu wewe sukuma gang
Mpumbavu mwenyewe, kenge weweWe ngombe kila mtu ana uhuru wa kukoment atakavyo humu. Mpumbavu we
Sio waislam tu bali awe anatoka ukanda wa pwani.Waislamu wa bongo wanaroho nzuri sana kuliko wakristo sijui kwanini
Naona sukuma gang mushafika ,Anacheka na nyani, ajiandae kuvuna mabua.
Mama SSH Mungu akubariki sana. Mungu akuongezee busara.Kwamza wanajukwaa Nina wasalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Pili ninampongeza Mama Samia kwa hili la kumlipa stahiki zake ndugu yetu, mtanzania mwenzetu na makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo stahiki zake, ni Jambo jema na linapendeza pia ndio utanzania huu.
Tatu upinzani si kupinga,kukosoa, na kuchukia Kila kitu kinachofanywa na serikali ya ccm kwenye mazuri tuseme bila kupepesa macho, Tundu lissu aliumizwa, alidhulumiwa Sana na serikali ya awamu ya tano.
Nne Mama Samia ni kweli kabisa watanzania tunahitaji katiba mpya, week historia ya kudumu ulimwenguni Kama mwanamke aliyesaidia nchi yake kupata katiba mpya hicho utajivunia milele.
Tano, ninakuombea kwa Mungu akutangulie kutimiza majukumu yako ya uraisi maana ni magumu Sana na angalau unaonyesha nia njema na wewe ni tumaini jipya la watanzania kutokea CCM
Huyo mpinzani atakae sifia si mpinzani halisi, ni Mpinzani uchwara. Mpinzani nia ni kukutoa wewe. Pale ulipo fanya vizuri yeye atataka afanye vizuri zaidi. Ukiona adui yako anakushangilia simama, geuka uangalie ni wapi umekosea.
Kwan lissu kulipwa stahiki zake ni ulaji kwa chadema?
Ila umoja party na ngongwe ndio Wana mustakabali mwema na taifa?Majangiri makubwa yote mawili hayafai kwa mustakabali mwema wa taifa la Tanzania
Tunajua watu ni wanasiasa tu. Ukatili afanyiwe mwanamke, akifanyiwa mwanaume ye ajikaze.Utawala wa awamu ya 5 iliumiza sana watu, Rais Samia anarejesha mshikamano wa Kitaifa ulioharibiwa na Magufuli. Ubaguzi wa kivyama ulishamiri, ilifikia wakati akifa wa chama fulani wengine wanasema haituhusu. Mwacheni Mungu aitwe Mungu.
Ila tuendelee kuidai katiba mpya lisije kutokea shetani lingine miaka ijayo au unasemaje mkuuMama Samia ataishi. Ataiepuka jehanamu maana amemtendea mema mwana wa Mungu Tundu Lisu tangu mwanzo.
Yule shetani ndiyo maana aliondolewa mapema na muumba.