Tundu Lissu: Rais Samia amenilipa stahiki zangu nilizonyimwa na Magufuli

Walijitokeza kwa wingj kujiaminisha kama kweli shetani kafa au anawazuga. Baada ya kuthibitisha kadedi wakaamua wakahakikishe kabisa kama shetani kazikwa.... baada ya hapo nchi imetulia kwa amani
Kila mmoja anaongea lake we unasema ule umma wote waliacha shughuli zao na kwenda kuhakikish kama kweli kafariki, wengine wanasema wale walikuwa chawa wake kwamba hata Hitler alizikwa na watu wengi zaidi na wengine wanasema watu walilazimishwa kwenda kuzika sijui maduka yalifungwa.

Nadharia nyingi sana.
 
Hapa kuna mpigo mwingine wa pesa za umma. Utasikia kalipwa 15b
 
What if there is external forces? Not that for every action there is equal and opposite reaction.
 
Hahahaaaa kwenye siasa kuna hesabu zake mkuu, kikubwa ni matumizi sahihi ya mtaji kwa wakati sahihi

Rest well our hero John Pombe Magufuli
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais Samia suluhu Hasan
Hakuna cha hesabu, huwezi ukaumiza mioyo ya watu kikatili kiasi kile, kisha utegemee kukubalika. Yule mzee alikuwa ameumiza mioyo ya watu wengi akiwemo mke wake. Anachokifanya mama kwa sasa ni kujaribu kuitibu mioyo iliyoumia sana. Hata mimi ningekuwa kwenye nafasi yake ningefanya hivyo hivyo. Yule mzee alikuwa ni wakala wa shetani. He deserved to die on that very time.


Yesu ni Kristo
 
ARUDI nyumbani sasa aitumikie nchi yake haya mambo ya kukaa ughaibuni hayana afya.amesomeshwa na serikali aje aitumikie serikali na wananchi wake.
 
Kwa taarifa yako sio tu Raisi Samia, hata maraisi wengine waliopita waislamu walikuwa na utu angalau, nakukumbusha linganisha uongozi wa Raisi Mwinyi, Raisi Kikwete na maraisi wengine kuanzia Nyerere, Mkapa hadi Magufuli.
 
Mimi na wenzangu tulienda kujiaminisha kama ni kweli kasukumizwa shimoni.
 
Samia alisha mwambia siku nyingi tu kuwa hana cha kuogopa kurudi nyumbani yeye kama anataka kurudi arudi tu.....ni Lissu mwenyewe ndio anaringa kuja
 
Hii nchi kulipwa stahiki zako ni kama vile favor kumbe ni haki Yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…