Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Kila mmoja anaongea lake we unasema ule umma wote waliacha shughuli zao na kwenda kuhakikish kama kweli kafariki, wengine wanasema wale walikuwa chawa wake kwamba hata Hitler alizikwa na watu wengi zaidi na wengine wanasema watu walilazimishwa kwenda kuzika sijui maduka yalifungwa.Walijitokeza kwa wingj kujiaminisha kama kweli shetani kafa au anawazuga. Baada ya kuthibitisha kadedi wakaamua wakahakikishe kabisa kama shetani kazikwa.... baada ya hapo nchi imetulia kwa amani
Nadharia nyingi sana.