field marshall1
JF-Expert Member
- Sep 17, 2017
- 1,171
- 2,732
Mnyonge, mnyongeni lakini haki yake mpeni. Haki imetamalaki katika nchi yetu, mengine yatakuja taratibu, tuvute subiri. Mambo mazuri hayahitaji haraka sana. Anachofanya Rais Samia, hakijawahi kufanywa na kiongozi yeyote duniani. Ndiyo kunaweza kukawa na ukakasi kwenye baadhi ya mambo ambayo hayajakaa vizuri lakini yaliyofanyika yamefunguwa njia.I love reconcilliation
wafuasi wa shetani mkajinyongeKWA HIYO!?
Ulitaka aseme hajalipwa?
Hiyo ni haki yakeNdo MAANA YA "MASLAHI"
Hiyo ni haki yake
'Kwa vituko vya ukatili na ukandamizaji alivyomfanyia Lissu na wengine wa upinzani na kuendelea kuvitambia kwa majivuno makubwa huku akishangiliwa na wa kijani, yafaa Ndugai aongozwe kwenye sala ya toba ili aachane SHETANI na aweze kumrudia Mungu wa kweli.'Ni jambo jema. Sijui Ndugai anajisikiaje na ule ujeuri wake
Ni kweli kabisa ndio maana hao waislam waliwakamata mashekh kule Zanzibar wakawafunga miaka 9 mpaka wakristo wakaja kuwaachia huru.Waislamu wa bongo wanaroho nzuri sana kuliko wakristo sijui kwanini
Lissu hajawahi kusaliti wananchiKabisa kabisa.
ila tumtarajie lisu yupi?
Tatizo ukipewa MASLAHI yako.hauwezi kukumbuka MASLAHI ya wengine ndo shida ya MASLAHI.
Yaani aliyeshiba hamkumbuki mwenye njaa
Lissu hajawahi kusaliti wananchi
Bashite umekunywa kunyagi?ndipo anapoelekea huko.
Ameanza kuramba assal
Yule jamaa alikuwa zaidi ya shetani. Ilikuwa ukifungua mdomo wako anakupotezaNarudia tena ugomvi wa magufuli na chadema ulikuwa ni MASLAHI.
Sasa wamepata MASLAHI yao.
Huwezi tena kuwasikia .
Unataka kusema UONGOZI wa Samia ni mzuri na hauna MAPUNGUFU?
wameshazibwa mdomo na hawawezi kuongea
KWENYE HUDHIA....
Hata shetani alikuwa anamshangaaYule jamaa alikuwa zaidi ya shetani. Ilikuwa ukifungua mdomo wako anakupoteza
Sisi furaha yetu ni kuwa dhalim yuko motoni anateseka, basi.Basi ndio maana nchi hii hata maandamano huwa hayafanikiwi kwa sababu raia zake wapo mitandaoni tu na huko mitaani kuna warundi tu.
Mlishindwaje kukemea na LIssu alimia vile kanisa katolic nafiki sanaUsiwasingizie wakristo kwa ushetani wa mtu mmoja,tukisema yule jamaa ni alikuwa shetani chawa wake wanakuja juu
Chukua biblia na quran ukaviweke kwenye dust bin, halafu urudi uje kusema nani wana roho nzuri 😁Waislamu wa bongo wanaroho nzuri sana kuliko wakristo sijui kwanini
Bashite umekunywa kunyagi?
Wabongo badala kuwaza kujiendeleza kimaisha kama kutafuta vyanzo vya mapato unawaza LAWAMA .Pongezi kwa Samia.
So, Samia kamlipa stahiki zake zote ila bado hajamkubalia kurudi nyumbani? au alishakubaliwa kurudi nyumbani ila yeye ameamua kubaki Ubelgiji kwa mambo yake binafsi?
Atuweke wazi na kwenye hilo, sababu huwa anatoa ahadi za nitakuja tarehe fulani, halafu tarehe hiyo ikifika haonekani bila kutuambia kwanini hajarudi, ili kama lawama zibaki kwa Samia na serikali yake tujue, au kama lawama ni za Lissu binafsi tujue.
hata tofauti kati ya ng'ombe na ngombe hufahamu?ngombe
SawaTuombe Mungu tufike salama.