Lakni mbona mnashindwa kuelewa kitu kidogo tu. Ama kweli huko lumumba mnavuliwa akili ndio maana mnashindwa na hoja zenu zinakinzana.Na alisena yeye kama makamu mwenyekiti kuwa Chadema pesa ziko nyingi zinaishia kuliwa makao makuu hazifiki matawini
Akasema akishika atahakikisha hizo pesa zinafika matawini.Azifikishe sasa
Ulaghai una mwisho kampaka matope Mbowe weeee
Atakayechanga atakuwa akili hana aambiwe alizosema zipo ashushe matawi
Naona machawa punguani mnaunganisha nguvu ili kuwa punguani zaidi.Vibaya sana
...chama kinakwenda kumfia....Naona machawa punguani mnaunganisha nguvu ili kuwa punguani zaidi.
Mkuu hii timeline ya Miez sita ni yakwako .Wewe inaonekana kichwani ni kutupu kabisa!
Hata kama alisema hivyo, kama kwa sasa hakuna pesa, unataka afikishe nini huko chini?
Ungekuwa na akili japo kidogo, ungesubiri kwanza ipite angalao hata miezi 6, wanachama na wapenzi wa chama wachangie, na hiyo ruzuku ndogo iingie, halafu uone matumizi yake yanakuwaje, ndipo uwe na haki ya kusema na kuhukumu.
Kweli ccm mnamchukia Lissu bila ya sababu.Tundu Lissu ni MASKINI JEURI.... aendelee kula ujeuri wake....
Je,Hapo ndio hoja yako ilipoishia sasa kama alisema atapanga matumizi bila ya kuwepo na pesa utayapangaje matumizi?
Yeye ameingia juzi na ameona hali ni tofauti sasa kinachofanyikaan ni kufanya utaratibu ili pesa ipatikane halafu apange matumizi hata hili linakushinda kuelewa ndugu mtafiti?
Kazi ipo sana kwa watafiti wetu
relax kwa utulivu gentleman,Naona machawa punguani mnaunganisha nguvu ili kuwa punguani zaidi.
Walienda expensive retreat ?Je,
hakujua kwamba baada ya retreat ya kifahari bagamoyo kwa zaidi ya siku5, pesa zingine zingehitajika kwa matumizi mengine?
unafanyaje retreat ya milioni 65 hali ya kua huna mpango mkakati unaoeleweka kiuchumi kuendesha chama?
kwani wangefanya hapo HQ kulikua na ubaya gani mathalan?🐒
...huyo ni bwakubwaku tu bwajaji akida bora mimi....Hiki chama kinakufa kwakua Lisu siyo mtekelezaji.
According to Yericko Nyerere alivyoelezea jinsi walitunga hadi cheo cha kumpa kwakua kingine hakua anakifanyia kazi.
Kakuomba msaada kwani!? Mbona unawashwa!?Kwahiyo tumsaidie nini?
Kwahiyo tumsaidie nini?
Tafuta pesa acha visingizio.CHADEMA imeingiliwa na vibaka na matapeli wa kisiasaMwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu akiwa Kibamba akizungumzia urataibu wa kujiunga na Chama amesema kama Chama
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Nisiwadanganye, tunahitaji fedha kwenye Chama za kufanyia shughuli. Tuna upungufu wa kutisha wa fedha kwa ajili ya shughuli za Chama, wiki ijayo nimeambiwa tutafanya huo utaratibu wa namna ya kupata fedha za Chama. Msiniulize Mwenyekiti umekuta nini huko ulipoingia kwasababu sitajibu na sitajibu kwasababu jibu halitakuwa zuri sana"
Kuwa muumin wa ukweli.Lisu ana shida kama ya JPM. Hajui nini cha kuongea hadharani na kipi cha kuongea kwenye vikao vyao vya ndani. Atapoteza watu kwa hii style yake ya kuongea bila break. Asifikiri watu wanaipenda sana chadema. Ni vile hakuna chama mbadala kwa sasa wa kupambana na ccm.
Laiti wagombea binafsi wangekuwa wanaruhusiwa, ccm na chadema vingebaki na ofisi bila watu.
Wacha hasira.Changia hali mbaya kasema Mwenyekiti.Kakuomba msaada kwani!? Mbona unawashwa!?
Mwamba alikuwa amejitolea au alikuwa anakomba kibubu? Unamsifia mwizi!?Aache kutupigia makelele yake hapa. Naye atafute pesa zake za kuendeshea chama. Si aliona ni rahisi kuendesha chama? Hafahamu kuwa Mwamba alikuwa amejitoa na kujitolea kwa hali na mali kwa ajili ya CHADEMA? Na bado ipo siku atasema chama kimemshinda kukiendesha. Nipo pale [emoji117]nimekaa naangalia mwisho wake
LISSU AACHE KUTAFUTA MCHAWI, ATUMIE AKILI KUPATA FEDHA KAMA MWENYEKITI ALIYEPITA JINSI ALIVYOKUWA AKIJITOLEA, AACHE KULALAMA, SASA AMEKUWA MWENYEKITI AONGOZE CHAMA KWA WELEDI ILI AWE MWENYEKITI WA MFANO.