Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Point....Hati safi ya mahesabu ikatolewa na CAG na kutoa hati hizo mwaka hadi mwaka bila kuweka angalizo lolote.
Pia Msajili wa Vyama Vingi Vya Siasa hakuona aina yoyote ya kuweza kukibana chama cha CHADEMA kwa kuwa mambo yote yameendeshwa kwa mujibu wa katiba na utaratibu wa chama.
we ulitakaje hovyoo sana wwAache kutupigia makelele yake hapa. Naye atafute pesa zake za kuendeshea chama. Si aliona ni rahisi kuendesha chama? Hafahamu kuwa Mwamba alikuwa amejitoa na kujitolea kwa hali na mali kwa ajili ya CHADEMA? Na bado ipo siku atasema chama kimemshinda kukiendesha. Nipo pale 👉nimekaa naangalia mwisho wake
Ilitakiwa yeyote kati yao awe President na anayebaki awe PM, nchi ingekuwa poa sanaJPM na Lissu wanatabia za kufanana.
Sema mmoja aliaamini katika matendo na matokeo yanayoonekana.
Mwinginwe anaamini katika maneno.
Kutwa nzima tuongee na kupiga domo.
Kwa maelezo haya inaonesha shida ni elimu hukumuelewa lisu na hutakaa umueleweNa alisena yeye kama makamu mwenyekiti kuwa Chadema pesa ziko nyingi zinaishia kuliwa makao makuu hazifiki matawini
Akasema akishika atahakikisha hizo pesa zinafika matawini.Azifikishe sasa
Ulaghai una mwisho kampaka matope Mbowe weeee
Atakayechanga atakuwa akili hana aambiwe alizosema zipo ashushe matawi
Mwenyekiti mstaafu alivyoondoka ofisini akaondoka na hela zake !Yeye afanye kazi aache siasa za kulalamika,kama hakuna hela aseme chama hakina hela wanachama watachanga na siyo kulalamika kwamba hakukuta kitu wakati anajuwa fika Mwenyekiti mstaafu ndiyo alikuwa mfadhili wa Chama.
....wale mangi wa kariakoo wamesema hamtokuwa nao katika huko kushajiishana michango kwa mwenyekiti "wasiyemuamini kuwa mtekelezaji wa malengo makubwa ya kuanzishwa kwa CHADEMA na mzee Mtei...."Tuko radhi kuchangia fedha mhe. Mwenyekiti 🙏🏿
CHADEMA ina wanachama mamilioni tukichanga jero jero tu inatosha.....wale mangi wa kariakoo wamesema hamtokuwa nao katika huko kushajiishana michango kwa mwenyekiti "wasiyemuamini kuwa mtekelezaji wa malengo makubwa ya kuanzishwa kwa CHADEMA na mzee Mtei...."
Wa matendo ni Mwamba Magufuli na wa maneno ni Lissu.JPM na Lissu wanatabia za kufanana.
Sema mmoja aliaamini katika matendo na matokeo yanayoonekana.
Mwinginwe anaamini katika maneno.
Kutwa nzima tuongee na kupiga domo.
Ujanja na utapeli wa Lisu unaanzia hapaMsiniulize Mwenyekiti umekuta nini huko ulipoingia kwasababu sitajibu na sitajibu kwasababu jibu halitakuwa zuri
Ha ha ha ha ha haOnyesha vitendo hapa, tukakae bar 😀
Zile pesa alizochangiwa alizochangiwa kwa ajili ya gari lake, azikopeshe chama, ili kiamke, endapo kama hazijaishia bar!
Hajaomba msaada mkuu. Katoa taarifaKwahiyo tumsaidie nini?
....ndio mchange sasa ,wale mangi wa kariakoo walikuwa wanaichangia milioni 200 kila mwezi....mtawamiss sanaaaaCHADEMA ina wanachama mamilioni tukichanga jero jero tu inatosha.
Changieni chama makamanda
Huyo ni bwana DOMOKAYA tu...Ujanja na utapeli wa Lisu unaanzia hapa
Sasa kama watu hawaambii kakuta kiasi gani ili wajue kuna upungufu kiasi gani ili wachangie
Sasa kusema tu anachangisha bila watu kujua kilichopo na upungufu huo ni utapeli
Aeleze tu
Ha ha ha haChangieni chama makamanda
Hizo ni Propaganda tu,CHADEMA tutaichangia mpunga.....ndio mchange sasa ,wale mangi wa kariakoo walikuwa wanaichangia milioni 200 kila mwezi....mtawamiss sanaaaa
Wewe ni mtu smart na sitegemei ukaipuuza hoja kwa kuwa nimeitoa mimi UVCCM...Hizo ni Propaganda tu,CHADEMA tutaichangia mpunga.
Komaa kamanda.Chama kinahitaji michango. Mwenyekiti kasema hali mbaya.Ha ha ha ha
Ha ha haha ha tukomae kweli makamanda kwani chama kinakwenda kuwa kama SAU kiuchumi.....Komaa kamanda.Chama kinahitaji michango. Mwenyekiti kasema hali mbaya.