MAPITO Mwanza
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 4,236
- 5,907
Hizi umechanganyikiwa dadaKama kawaida yake ya kuropoka ropoka Hovyo hovyo bila ushahidi wa aina yoyote ile
DuuhSamia kapewa maelekezo na waarabu ya kulinda ''uwekezaji'' wao. Wametoa fedha nyingi za kuhonga vyama vya upinzani ili visimpe upinzani na kuanika uovu wake na wakati wa uchaguzi visitoe upinzani kamili. Lissu pekee ndiye aliyekataa hii hongo ndiyo maana wanapanga njama za kumuumiza. Unakumbuka yule simba wa kwenye maonyesho ambaye Samia alisema ''hatulii kama Lissu'' hivyo aitwe Lissu? Alikuwa anamaanisha hatulii hata akipewa fedha!
Yupo upande wa chama.Upo upande wa nani? Lissu au mbowe?
Ni yeyeHuyo anayepiga ngoma mbona kafanana na Lissu?
Ndio maana ya hii katuniUchaguzi wa CDM,kijani ndio wanateseka nao hakika Lissu ni Muujiza unaotembea
π―%Samia kapewa maelekezo na waarabu ya kulinda ''uwekezaji'' wao. Wametoa fedha nyingi za kuhonga vyama vya upinzani ili visimpe upinzani na kuanika uovu wake na wakati wa uchaguzi visitoe upinzani kamili. Lissu pekee ndiye aliyekataa hii hongo ndiyo maana wanapanga njama za kumuumiza. Unakumbuka yule simba wa kwenye maonyesho ambaye Samia alisema ''hatulii kama Lissu'' hivyo aitwe Lissu? Alikuwa anamaanisha hatulii hata akipewa fedha!
Ni vigumu sana Zezeta kuchanganyikiwa.Siku
Hizi umechanganyikiwa dada
Sijauliza chama wala Aziz Ki. Nimeuliza Kati ya mbowe na lissu yupo upande gani, full stopYupo upande wa chama.
Duh π !Enyi watu wabaya mjulikanao kama 'watu wasiojulikana,' nimezisikia njama zenu. Mnataka kuniumiza halafu mumsingizie Mwenyekiti wetu wa chama, Freeman Mbowe.
Ndivyo mlivyofanya wakati wa kifo cha marehemu Chacha Wangwe. Ndivyo mlivyofanya tena wakati mliponishambulia tarehe 7 Sept '17. Na ndivyo mlivyofanya miezi michache iliyopita mlipomteka nyara na kumuua Mzee Ali Mohamed Kibao.
Ndivyo mnavyofanya kila mnapoua watu wasio na hatia. Mnasingizia watu wengine ili nyie mnaohusika msiwajibike na udhalimu wenu.
Huyo mnayedhani mnamtumikia alitoa ahadi hadharani kuwa nitakuwa salama nikirudi nyumbani. Waziri wake Masauni alirudia ahadi hiyo bungeni.
Mkiniumiza kama mnavyopanga mjue lawama yote itaangukia kwa Samia Suluhu Hassan. Badala ya kumlinda mtamchafua zaidi. Na kama ilivyokuwa kwa Magufuli baada ya 7 Sept '17, ndivyo itakavyokuwa kwa Samia.View attachment 3178142
Alikuwa hoi bin taabanKaenda kwenye matibabu au kikazi ?
Pamoja SanaDuh hawatafanikiwa na hawatafanikiwa huu ujinga waliutumia kwa chacha wangwe hawatafanikiwa kamwe
We are watching them24/7 wakijaribu tunapindua kabisa serikali na ndio utakuwa mwisho wa CCM!!
Ujumbe wa Lissu nimeuelewa sana. Sijui kama na nyie mmeuelewa?Ndio maana ya hii katuniView attachment 3178180
Mwee! Nini tatizo tumwombee kwa Mungu apone harakaAlikuwa hoi bin taaban
CCM ni wauaji wakubwa, cjui mtu unakuwaje mwanachama wa hili genge!Kutoka X Lissu anaandika,
Enyi watu wabaya mjulikanao kama 'watu wasiojulikana,' nimezisikia njama zenu. Mnataka kuniumiza halafu mumsingizie Mwenyekiti wetu wa chama, Freeman Mbowe.
Ndivyo mlivyofanya wakati wa kifo cha marehemu Chacha Wangwe. Ndivyo mlivyofanya tena wakati mliponishambulia tarehe 7 Sept '17. Na ndivyo mlivyofanya miezi michache iliyopita mlipomteka nyara na kumuua Mzee Ali Mohamed Kibao.
Ndivyo mnavyofanya kila mnapoua watu wasio na hatia. Mnasingizia watu wengine ili nyie mnaohusika msiwajibike na udhalimu wenu.
Huyo mnayedhani mnamtumikia alitoa ahadi hadharani kuwa nitakuwa salama nikirudi nyumbani. Waziri wake Masauni alirudia ahadi hiyo bungeni.
Mkiniumiza kama mnavyopanga mjue lawama yote itaangukia kwa Samia Suluhu Hassan. Badala ya kumlinda mtamchafua zaidi. Na kama ilivyokuwa kwa Magufuli baada ya 7 Sept '17, ndivyo itakavyokuwa kwa Samia.
kah!Duh hawatafanikiwa na hawatafanikiwa huu ujinga waliutumia kwa chacha wangwe hawatafanikiwa kamwe
We are watching them24/7 wakijaribu tunapindua kabisa serikali na ndio utakuwa mwisho wa CCM!!
jamaa kapoa sana muda huu, haandiki habari za chademaUpo upande wa nani? Lissu au mbowe?
Watu wanacheza mpaka wanabinuka sarakasi ππ