Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Wewe nakusamehe na kukuouuza maana hujui unenalo. Lakini ujie kuwa uhai wa binadamu ni zaidi ya kelele za uchawa. Uhai wa mtu siyo wa kuwekea uchawa.Wewe ndiye ungeacha wenye akili Timamu na wanaojitambua wajadili hoja
Tutofautiane kwa mambo mengine lakini siyo kwenye umuhimu wa thamani ya uhai wa mwanadamu. Ukipuuza na kuona uhai wa wanadamu si chochote, kuna siku utaoneshwa kwa namna ambayo itaamsha akili na dhamira yako iliyolala ili upate hekima. Usifanyie mzaha maisha ya mwanadamu. Mungu aliyetupatia uhai, akaupa heshima na thamani ya pekee, hadhihakiwi katika kile alichotujalia.