Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Well said MwambaUnajua hiki alichokiandika Lissu haraka sana mimi nilikijua kwamba kitatokea, unaambiwa mbwa ukimjua jina hakung'ati.
CCM iko transparent mno kwenye mambo ya Utekaji na mauaji, ila kwa kukosa maarifa wao wanadhani wamejificha!
Huwezi kuwa na nchi inayowaza kuua tu raia wake halafu ikaendelea
Hahaha naona anaanza kuelewa sasa mchezo. Hiyo September 7, 2017 Mh. Mbowe aka kengeza kwa kushirikiana na mabeberu waliotaka kuona Dkt Magufuli anasingiziwa ndiyo waliotumwa na mbowe wamuue yeye lisu. Ndiyo maana mbowe mpaka leo anakinyongo na huu ndiyo wakati atammalizia kwa sababu ya uenyekiti hahah amuulize ayatola zito alikimbia chama kisa uenyekiti.Kutoka X Lissu anaandika,
Enyi watu wabaya mjulikanao kama 'watu wasiojulikana,' nimezisikia njama zenu. Mnataka kuniumiza halafu mumsingizie Mwenyekiti wetu wa chama, Freeman Mbowe.
Ndivyo mlivyofanya wakati wa kifo cha marehemu Chacha Wangwe. Ndivyo mlivyofanya tena wakati mliponishambulia tarehe 7 Sept '17. Na ndivyo mlivyofanya miezi michache iliyopita mlipomteka nyara na kumuua Mzee Ali Mohamed Kibao.
Ndivyo mnavyofanya kila mnapoua watu wasio na hatia. Mnasingizia watu wengine ili nyie mnaohusika msiwajibike na udhalimu wenu.
Huyo mnayedhani mnamtumikia alitoa ahadi hadharani kuwa nitakuwa salama nikirudi nyumbani. Waziri wake Masauni alirudia ahadi hiyo bungeni.
Mkiniumiza kama mnavyopanga mjue lawama yote itaangukia kwa Samia Suluhu Hassan. Badala ya kumlinda mtamchafua zaidi. Na kama ilivyokuwa kwa Magufuli baada ya 7 Sept '17, ndivyo itakavyokuwa kwa Samia.
Usifikirie wote tunalipwa kama ulipwavyo wewe .Wewe ni mjinga, lakini Tambua kwamba hawa wanaokulipa iko siku watakugeuka, Shetani hana maana
Mkuu jeshi likiamua hata leo mtashangaa jinsi wananchi tutawaunga mkono. Ili nchi yetu ianze upya ni aidha machafuko, ama mapinduzi ya kijeshi. Jeshi pekee ndio nguzo yetu, wananchi wengi tutawaunga mkono.Wajaribu tukinukishe, maana tumechoka!! Hii nchi ni yetu sote!!wasituchukulie poa!!kisa tuna vyeo vidogo jeshini! hao wanaowaumiza ni ndugu zetu!!
Hapo ndio unaona umecheza mindgame la hatari.Hahaha naona anaanza kuelewa sasa mchezo. Hiyo September 7, 2017 Mh. Mbowe aka kengeza kwa kushirikiana na mabeberu waliotaka kuona Dkt Magufuli anasingiziwa ndiyo waliotumwa na mbowe wamuue yeye lisu. Ndiyo maana mbowe mpaka leo anakinyongo na huu ndiyo wakati atammalizia kwa sababu ya uenyekiti hahah amuulize ayatola zito alikimbia chama kisa uenyekiti.
Mwashambwa , wewe bado mwepesi sana katika mambo mengi.Katika andiko lake hilo la X ameweka ushahidi wa tuhuma zake? Unaweza kusaidia kuweka hapa jukwaani? Alisema kwenye chama chake yameingizwa manilioni ya rushwa je amewahi kuthibitisha tuhuma hizo? Je unaweza kutuwekea hapa majina ya hao watoa na wapokea rushwa wa CHADEMA? Yeye kama makamu Mwenyekiti alishughulikia vipi masuala hayo? Lissu alisema kuwa alitaka kuhongwa mapesa na mtoto wa Rais je amewahi kuweka ushahidi wa hata CCTV camera? Unaweza kutusaidia kuweka hapa?
Hii ndiyo mbinu maarufu na iliyozoeleka kwa chama chenye mavazi ya rangi ya kinyesi cha wanyama walao nyasi mbichi.Kutoka X Lissu anaandika,
Enyi watu wabaya mjulikanao kama 'watu wasiojulikana,' nimezisikia njama zenu. Mnataka kuniumiza halafu mumsingizie Mwenyekiti wetu wa chama, Freeman Mbowe.
Ndivyo mlivyofanya wakati wa kifo cha marehemu Chacha Wangwe. Ndivyo mlivyofanya tena wakati mliponishambulia tarehe 7 Sept '17. Na ndivyo mlivyofanya miezi michache iliyopita mlipomteka nyara na kumuua Mzee Ali Mohamed Kibao.
Ndivyo mnavyofanya kila mnapoua watu wasio na hatia. Mnasingizia watu wengine ili nyie mnaohusika msiwajibike na udhalimu wenu.
Huyo mnayedhani mnamtumikia alitoa ahadi hadharani kuwa nitakuwa salama nikirudi nyumbani. Waziri wake Masauni alirudia ahadi hiyo bungeni.
Mkiniumiza kama mnavyopanga mjue lawama yote itaangukia kwa Samia Suluhu Hassan. Badala ya kumlinda mtamchafua zaidi. Na kama ilivyokuwa kwa Magufuli baada ya 7 Sept '17, ndivyo itakavyokuwa kwa Samia.
Aache ujinga wa kuropoka mambo bila kuwa na ushahidi.sasa kwanini akae na ushahidi wa tuhuma nzito za kuhatarisha uhai wake? Au na wewe umejitungia tu ngonjera zako kama kawaida yako.Mwashambwa , wewe bado mwepesi sana katika mambo mengi.
Fahamu kuanzia leo: Tuhuma huwa hazina ushahidi wala vielelezo vya ushahidi. Ukiviweka vielelezo au ushahidi wazi kwenye tuhuma, waovu wanaweza kuvichezea au kujipanga kupambana na tuhuma dhidi yao.
Ushahidi na vielelezo hutolewa mahakamani au mamlaka maalum kama kamati za uchunguzi.
Kwa sasa Lisu ametoa tuhuma dhidi ya vyombo vya dola, hivyo vyombo vya dola vilivyotuhumiwa haviwezi kumhoji. Ila Rais ana uwezo wa kuunda kamati maalum huru kufanya uchunguzi ambapo Lisu atalazimika kutoa ushahidi wa tuhuma, ambao kwa ujumla ni mwingi. Ameeleza tangu kifo cha Chacha, kuoigwa kwake risasi na hii mipango yao miovu ya sasa.
Takataka wewe akili zako ziko kwenye MNDUKU, kuna siku hao wahalifu wenzio wa serikali ya ccm wataifikia familia yako ili tuongee lugha moja.Usifikirie wote tunalipwa kama ulipwavyo wewe .
Ndio mmushitaki mahakamani si yupo mbona hamkamatiKama kawaida yake ya kuropoka ropoka Hovyo hovyo bila ushahidi wa aina yoyote ile
Wewe endelea kutukana matusi utafikiri kichaa au mwendawazimu.mimi naendelea kushusha NONDO tuTakataka wewe akili zako ziko kwenye MNDUKU, kuna siku hao wahalifu wenzio wa serikali ya ccm wataifikia familia yako ili tuongee lugha moja.
Waliomwua Ali Kibao walijitambulisha wazi kuwa wao ni nani. Japo walijitambulisha kuwa ni polisi, lakini siyo hawa polisi wa kawaida.Unawafahamu waliomuua kibao? Unaweza kusaidia jeshi la polisi ?
Yeye ndiye aende mahakamani kama anataka.Ndio mmushitaki mahakamani si yupo mbona hamkamati
πππππMkuu jeshi likiamua hata leo mtashangaa jinsi wananchi tutawaunga mkono. Ili nchi yetu ianze upya ni aidha machafuko, ama mapinduzi ya kijeshi. Jeshi pekee ndio nguzo yetu, wananchi wengi tutawaunga mkono.
Huyo mnayedhani mnamtumikia alitoa ahadi hadharani kuwa nitakuwa salama nikirudi nyumbani.
Aliandaa list of shame ya mafisadi na akawatangaza baadaye akatudanganya ni wasafi bila taratibu za kimahakanahajawahi kusema uongo
Ameeni mtumishiEe Mungu mkuu uzidiye mamlaka na uweza wote, uliyewahi kuyaangamiza majeshi ya wakuu walioaminika kuwa na mamlaka yasiyoweza kufanywa chochote, Ee Yesu ambaye kwa upendo mkuu ulikubali kuteseka, kuimwaga damu yako, na hata kufa msalabani, ambaye hatimaye uliyashinda mauti ya mwili na Roho, ukamshinda shetani na ufalme wake, ukapewa mamlaka yote Duniani na Mbinguni, kwa mkono wako wenye nguvu, umtazame mtumishi wako Tundu Lisu kwa jicho la huruma na ushindi, tunaomba umshirikishe katika ule ushindi wako dhidi ya mauti kama ulivyomfanyia hapo mwanzo dhidi ya yeyote anayepanga uovu wowote juu ya uhai wake. Kwa sababu ya ile sadaka aitoayo kwa watu wako, kwa kuunena uovu wa watawala wautendao dhidi ya watu wako wasio na uwezo wa kunena wala kujitetea, ukampe ulinzi wako usiopenyeka wala kwa risasi, sumu, kisu au kingine chochote. Na kwa mkono wakp wenye nguvu, hao waupangao huo uovu na waliopangwa kuwa watekelezaji wa uovu huo, matokeo ya uovu walioupanga, yakawarudie wenyewe na watu wao, na washiriki wao, hata mara 3 zaidi.
Yeyote atakaye ulinzi juu ya Lisu na adhabu dhidi ya waovu, kila siku baada ya kufanya toba jwa Bwana, aisali sala hii mfululuzo kwa siku 7 au 3. Kumbukeni kuwa 3 7 na 40 ni namba za ukamilifu.
NB: Sala siyo mbadala ya kutimiza wajibu wetu kama wanadamu kwa kutumia zile nguvu na mamlaka zote aluzotujalia. Wakati tukiomba mkono wenye nguvu wa Mungu dhidi ya waovu, tuendelee kupambana kupinga mifumo na matendo yoyote ya dhuluma dhidi yetu na wengine wote wanaoonewa na mifumo ya utawala na watawala.