Tunduma: Wakuu wa shule wavuliwa nyadhifa kisa wimbo wa Zuchu (Honey)

Nafikri waziri atakuwa hajachukizwa na kucheza mziki, kilichomwuzi utakuwa ujumbe ulioko kwenye mziki! "Mpenzi wangu akina namkatia kiuno". Hivi hata wewe mkuu ukiwa umenuna my wife wako akakuingiza chemba akakutia kiuno utaendelea kununa?
nitafurahi mkuu, tena kuna siku tulikuwa tumegombana tuna week hatuongei, basi akavaa kimini ndani pichu hamna, nipo zangu naangalia tv akaja kaanza kuvuta meza, mara akaamia kwenye tv huku anazungusha kiuno taratibu, huku mambo wazi kabisa, mkuu uzalendo ulinishinda niliena nikamshikisha kochi pale nikala mzigo na ugomvi ukaishia hapo.

nirudi kwenye mada
ila mkuu tuwaache watoto wacheze na kufurahi, sidhani kama kucheza kwao kwa dk 30 huo wimbo ndo kutasababisha wasiwe na maadili, je walimu ndo waliwafundisha kuimba huo wimbo mwanzo mwisho?
 
Yaani unategemea Dr. Gwajima aje aunge mkono ujinga huo? Tatizo nyie viumbe hamtoi judgement kulingana na contents za wimbo mmekazania tu kwamba watoto walikuwa wanaburudika. Sasa burudani bila kuzingatia maudhui ya wimbo? Waziri yuko sahihi!
Nimekwambia aje aunge mkono ama nimeuliza kama ni sawa

Mbona unajibu usipoulizwa?
Wewe ni Mama Gwajima?

Hizo nyimbo zilipoimbwa kule ziarani Geita na Zuchu
Zilikuwa na maudhui gani pale?
 
Yaani unategemea Dr. Gwajima aje aunge mkono ujinga huo? Tatizo nyie viumbe hamtoi judgement kulingana na contents za wimbo mmekazania tu kwamba watoto walikuwa wanaburudika. Sasa burudani bila kuzingatia maudhui ya wimbo? Waziri yuko sahihi!
Asante Manjagata , nimeandika sana ukisoma post zangu kuwa content /maudhui na audience unayopeleka ujinga huo! Aliyeuimba ni malaya, sasa unawapelekea watoto rubbish kama hivyo

View: https://youtu.be/kFD_yJvqeGE
 
Inasikitisha sana aisee
 
Nilisoma before ukimwi

Enzi za amina kadala na switi switi bila kusahau nyimbo za kumtukana iddi amin dada
 
Hutu tuwaziri tulitogoma kuzeeka tuna tabu sana kutwa kupaka hair dye na kununua malaya Rainbow.Hilo linyimbo linapigwa kila sehemu na hao watoto wanaona ,wanasikia kwanini wasiufungie huo wimbo.Hapo kanajiona kazalendo kuonea vidagaa.
 
Nimekwambia aje aunge mkono ama nimeuliza kama ni sawa

Mbona unajibu usipoulizwa?
Wewe ni Mama Gwajima?

Hizo nyimbo zilipoimbwa kule ziarani Geita na Zuchu
Zilikuwa na maudhui gani pale?
Elewa hapo ni shuleni na kule Geita ni mtaani! Shule zina mwongozo wake! Siyo kila kitu kinafaa kwenda shuleni! Kumbuka kuna shule pia iliwahi kumkaribisha Amber Lutty wakati akiwa na sakata lake unakumbuka nini kilimpata yule mwalimu?
 
makosa ya BASATA kutouzuia siyo warrant ya kuimbwa mashuleni. Unatumia common sense kama mwalimu Mkuu na mzazi. Issue ni audience ipi wimbo huo unaimbwa. Yes shulni si swa maana kule kuna mitaala na wale ni watoto wadogo
Wa kumuwajibisha ni aliyeruhusu huo wimbo kuendelea kuleta hewani.

Kuna nyimbo nyingi za hovyo hupigwa mashuleni,ukiachilia mbali huo wa Zuchu.

Waweke list ya nyimbo zinazotakiwa kupigwa mashuleni
Zipo nyimbo nyingi za watoto zinazohamasisha masomo ndani yake.

Waiweke wazi kwa walimu wote nchini na wawasisitize walimu kufuata hiyo miongozo.

Kuwatoa mbuzi wa kafara walimu kwa sababu ya wimbo wa Zuchu..huo ni wimbo mmoja tu !
Vipi,wataendelea na hilo zoezi maana ukiachikilia mbali wimbo wa Zuchu
Kuna nyimbo nyingine nyingi tu ambazo zinaimba matusi..vipi wataendelea kuvizia kila wimbo na kuendelea kuwavua walimu vyeo?
 


Kakurupuka, kabisa.
 
Elewa hapo ni shuleni na kule Geita ni mtaani! Shule zina mwongozo wake! Siyo kila kitu kinafaa kwenda shuleni! Kumbuka kuna shule pia iliwahi kumkaribisha Amber Lutty wakati akiwa na sakata lake unakumbuka nini kilimpata yule mwalimu?
Kwahiyo kule Ziarani walikoenda Makamu naibu waziri na viongozi wengine
Zuchu akaenda kuimba Honey,Mafuta ya taa , sugar sukari na nyimbo za kipuuzi kama hizo ,ilikuwa ni mahala pake?

Waanze kwanza kujishughulikia wao ndipo waje sasa upande wa walimu.
 
Eti watu wanasema kukata mibuno mibuno sijui ndo kosa, wakati hati nyimbo za asali za makabila mengi tanzania ni kukata mibuno mwanzo mwisho, hawa watu wakapimwe mkojo tu.
 
Miongozo ipo, sema walimu wa dot com wanajizima data tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…