granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 3,249
- 7,948
nitafurahi mkuu, tena kuna siku tulikuwa tumegombana tuna week hatuongei, basi akavaa kimini ndani pichu hamna, nipo zangu naangalia tv akaja kaanza kuvuta meza, mara akaamia kwenye tv huku anazungusha kiuno taratibu, huku mambo wazi kabisa, mkuu uzalendo ulinishinda niliena nikamshikisha kochi pale nikala mzigo na ugomvi ukaishia hapo.Nafikri waziri atakuwa hajachukizwa na kucheza mziki, kilichomwuzi utakuwa ujumbe ulioko kwenye mziki! "Mpenzi wangu akina namkatia kiuno". Hivi hata wewe mkuu ukiwa umenuna my wife wako akakuingiza chemba akakutia kiuno utaendelea kununa?
nirudi kwenye mada
ila mkuu tuwaache watoto wacheze na kufurahi, sidhani kama kucheza kwao kwa dk 30 huo wimbo ndo kutasababisha wasiwe na maadili, je walimu ndo waliwafundisha kuimba huo wimbo mwanzo mwisho?