Tunduma: Wakuu wa shule wavuliwa nyadhifa kisa wimbo wa Zuchu (Honey)

HII NI SEHEMU YA MASHAIRI YA HUO WIMBO, MWANAO AKIKUIMBIA UTAMUONA MWELEVU?

Japokuwa namchuna

Kang’ang’ana humo humo

Honey wangu akinuna

Namkatia viuno



Vitoto sahv ni kukatika
Kutmb na wengi wana 0713

Ova
 
Hii nchi viongozi wanafiki sana, unaweza Kuta huyo wazir watoto wake ni watu wa disco vibaya mno na yy ndio mfadhili.
Huyo Zuchu anaiwaimbia sana CCM kwenye vikao na mikutano yenu ambayo mnawasomba watoto na malori kutoka shule wahudhurie ni ujinga Kwa kweli alafu kwann basi Basata wasiwajibishwe.
 
Kuna haja ya kufanya utafiti tujue kwanini jamii ya vijana na watoto wanapenda nyimbo ambazo hazina maadili. Juzi nilisikia wimbo unapigwa redioni unasema: "Nataka kunya kunya kunya kunyanyua maiki" na watu wakawa wanafurahia nikashangaa sana. kuna tatizo mahali kwenye maadili ya jamii ya kitanzania kwa ujumla. Utafiti ufanyike ili kutafuta chanzo.
 
Watoto wamefrah sana, tena ni watoto wadg mbona hili muheshimiw angeliacha lipite t
 
HONEEEEEEEY honey hiki kiwimbo ni aibu kuimba mbele za watu lakini ni kizuri sana...
 
Acha watoto waendele kuimba na kukata mauno mamiziki yenu
Maana hata hivyo inawafanya na kuwajenga kwenye kuzagamuana
Poleni sana wazaz maana sahv mna kizaz cha ovyo
Mitoto asubuhi tu washazibuliwaaaa
Na mpaka mkifika 2030 vitoto vitakuwa vimechakaa

Ova
 
Na hiyo video iko free. Kila mtu anaiona. Kesho lawama kwa walimu.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Manyimbo ya waabudu mashetani yanapandikizwa kwa watoto wadogo kabisa.
 
Manyimbo ya waabudu mashetani yanapandikizwa kwa watoto wadogo kabisa.
Wazaz wenyew na kuna watu wanapenda...humu kwenye unaona
Wanapinga walim kupigw pini
Ila basata nao mujimbo hii wanaiachia
Na waiache,Acha mitoto ivurugwe
Shauri zao

Ova
 
Wanatafuta views u tube kule. Mziki una ushenzi mwingi saana
 
Kwa yote waliyosema na kuamua ingekua poa saana hao wanasiasa wakacha kuwatumia hawa wasanii waimba matusi kwenye mambo yao ya kisiasa yote. Kwenye siasa wanawatumia na kuwapongeza kwa huo ujinga wanaoimba ila hapo waalimu wamekula adhabu kwa kitu ambacho mamlaka imeruhusu yenyewe
 
Vodacom nao wana tangazo lao, "Maisha ni kutoooooo...", kutoa nini sijui, "Maisha ni kufiiiiiii..." kufikiwa nini sijui,
Wakulungwa hapa home nao wakaanza kuliiga, nikawaambia nikimsikia mtu anaimba hilo tangazo navuta mdomo hadi uvuke bahari, sijasikia tenaaaa....

Mbaya zaidi tangazo hua lipo katikati ya taarifa ya habari ya ITV
 
Shule ya msingi = Mwalimu Mkuu
Shule ya sekondari = Mkuu wa Shule
 
HONEEEEEEEY honey hiki kiwimbo ni aibu kuimba mbele za watu lakini ni kizuri sana...
Watoto wanajua vibe lake

Tena hapo wanaposema popolopo popolopo
Sijui Dj we
Ongeza mdundiko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]angusha mojamoja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ukiwakuta watoto mtaani wanacheza inshort inahuzunisha na kuchekesha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Zuchu sijui Chuchu ni mwanaccm wameshindwa kufungia wimbo wake wanaenda kuwavua walimu vyeo.

Mbona kuna majizi ya pesa za umma hayavuliwi vyeo ndio kwanza yanaitwa waheshimiwa.
Walimualika akawaburudishe ziarani
Na aliimba nyimbo hizohizo ambazo walimu wanavuliwa vyeo kwa kucheza.
 
Sijui labda macho yashakuwa ya uzee tena.... lakini sijaona kosa hapo la kufikia wakuu wa shule kuvuliwa vyeo tena ikiwa mari kutoka kwa waziri 🙁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…